johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yumo kwenye kamati ya tatu, ambayo ni ya wataalamu.Bashite hayumo? Daah
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.
Chanzo: ITV habari!
Pole mwanalumumba, huyo kasimu Kinachompunguzia heshima ni kuwa katika hicho chama cha kijani.Mhe. Majaliwa ni moja ya watumishi wa watu kwelikweli. Kama kigezo kile cha kumpata Rais ni cha kweli, basi ingefaa huyu amrithi Mhe. Magufuli.
Mh!!!!!!Mhe. Majaliwa ni moja ya watumishi wa watu kwelikweli. Kama kigezo kile cha kumpata Rais ni cha kweli, basi ingefaa huyu amrithi Mhe. Magufuli.
Punguza mihemko kamanda, Kuna watu wanaonekana wa hovyo kuliko Mbowe na Zitto? Nao wapo chama Cha kijaniPole mwanalumumba, huyo kasimu Kinachompunguzia heshima ni kuwa katika hicho chama cha kijani.
Yeah sure atakuwa msemaji wa wataalamu.Yumo kwenye kamati ya tatu, ambayo ni ya wataalamu.
Naamini roho yako imesuuzika kwa jibu hili.
Mwaka gani?...ingefaa huyu amrithi Mhe. Magufuli.
Gwajima ndio nani bwashee?!Hehe mkuu wa nchi amesema corona ni shetani mbona sijaona kamati ya kina Gwajima hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali.maana kuna watu wavyolalamika kuhusu serikali kutochkua hatua.wkt kila jambo linaenda kwa mipango.