Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.
Chanzo: ITV habari!
HahahahaaahhhahaaYumo kwenye kamati ya tatu, ambayo ni ya wataalamu.
Naamini roho yako imesuuzika kwa jibu hili.
Kamati sio mipango, mipango ni kutuambia uwezo wetu wakupima wagonjwa wapya kwa wakati gani? Wanafanya nini kuongeza uwezo?Afadhali.maana kuna watu wavyolalamika kuhusu serikali kutochkua hatua.wkt kila jambo linaenda kwa mipango.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.
Chanzo: ITV habari!
Mzee Mangula anaendeleaje? Maana hicho chama Cha kijani kwa kupeana sumu hakijambo, hata Mwenyekiti wa hicho chama alilalamika kuwa kuna kipindi alitaka kuwekewa SUMU hicho chama ni hatari sana TanzaniaPunguza mihemko kamanda, Kuna watu wanaonekana wa hovyo kuliko Mbowe na Zitto? Nao wapo chama Cha kijani
Hawapo!
Yule mkata mauno aliyepewa onyo baada ya kutoa vipeperushi vya kuunga juhudi hadi akapitilizaGwajima ndio nani bwashee?!
Bashite yuko kitengo cha kuomba misaada kwa mabeberu.
Toka alipoachia ile movie yake pendwa upako uliagana naye,sasa hivi ni mtu wa fitna,majungu na kupandikiza chuki za ukabila.Hehe mkuu wa nchi amesema corona ni shetani mbona sijaona kamati ya kina Gwajima hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni nani? Ana akili timamu au ni taahira? Anapanda kwenye jiwe na viatu? Mwambieni asirudie tena kuna siku atarudi kwenye machela!
Mtaaalamu wa kuteka,kutesa na kuuwaYumo kwenye kamati ya tatu, ambayo ni ya wataalamu.
Naamini roho yako imesuuzika kwa jibu hili.