Waziri Mkuu awataka Wananchi kujilinda na Magonjwa kwa kunawa mikono na kuvaa Barakoa

Lakini kwa nn anaongea kimafumbo? Halafu mbona net, chanjo za polio, tetenasi, ndui zinatoka nje na watanzania hawajapata madhara? Kwa nn anadhani barakoa za nje zina madhara?
 
Wewe na akili zako ulikuwa unafikiri hakuna Covid-19 wakati wageni wanatua kila siku kwenye viwanja vyetu vya ndege? Ujinga ni mzigo.
 
Ni jambo jema!
 
Wewe na akili zako ulikuwa unafikiri hakuna Covid-19 wakati wageni wanatua kila siku kwenye viwanja vyetu vya ndege? Ujinga ni mzigo.
Tena wale “wanaokimbia” kwao ambapo covid19 lilikuwa limetamalaki...
 
20 February 2021
Korogwe, Tanzania

"Vaeni barakoa, hatujakataza kuvaa barakoa" waziri mkuu akimuwakilisha Raisi MAGUFULI msiba wa Kijazi

 
Huyu jamaal inaelekea huwa haambiwi VITU vyote na lijiwe kumbuka alivyohangaikia Jimbo kupita Bila kupingwa inaonekana jiwe hakumwambia usiogope tutaiba kura na tume ya uchafuzi
 
anayekagua ubora wa bidhaa zinazoingia nchini Tanzania ni nani ?
 
Aendelee na kiburi yeye na bosi wake Mungu atawanyoosha muda si mrefu .
 

Kwani mkulu mwenyewe ‘keshabatilisha kauli yake kuwa hakuna korona?
 
Wewe kama unasubiri matamko y serikali ndio uchukue tahadhari basi utasubiri sana..kimsingi hali ni mbaya..! Watu tujiongeze!
Waache kukusanya kodi kama hawawezi kutoa miongozo
 
Wengine "walisurvive kwenye serikali hii kwasababu ya Kijazi "by JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…