Waziri Mkuu awataka Wananchi kujilinda na Magonjwa kwa kunawa mikono na kuvaa Barakoa

Lets call a Spade a Spade not a big Spoon.... Magonjwa mbali mbali yapi ? kuumwa kichwa, kuteguka mguu ?.., Sijui kwanini hawa watu wanaona uvivu ukakati kutamka hili neo ambalo linaendana na changamoto ya upumuaji
 
Yaani itafika mahali watakiri tu ukweli! Kweli mficha maradhi kifo humuumbua
 
Nilikua sijui PM naye ni msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…