PostGE2025 Waziri Mkuu awatembelea marafiki zake mtaani 'Nimewakumbuka masela'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao.

Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo “Nikiwa naelekea kwenye shughuli za kiserikali, nilipata pia muda wa kusalimiana na majirani zangu. Ujirani mwema huleta amani, upendo na mshikamano.,”.

Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo "Nikiwa naelekea kwenye shughuli za kiserikali, nilipata pia muda wa kusalimiana na majirani zangu. Ujirani mwema huleta amani, upendo na mshikamano."

20251128_095629.png
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao.

Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo “Nikiwa naelekea kwenye shughuli za kiserikali, nilipata pia muda wa kusalimiana na majirani zangu. Ujirani mwema huleta amani, upendo na mshikamano.,”.

Hongera sana Waziri mkuu huo ndio upendo Kwa watanzania wote bila kujali hali zao.
 
ULINZI wotee huo kuogopesha
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao.

Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo “Nikiwa naelekea kwenye shughuli za kiserikali, nilipata pia muda wa kusalimiana na majirani zangu. Ujirani mwema huleta amani, upendo na mshikamano.,”.

ULINZI wotee huo kuogopesha maraia...
 
Back
Top Bottom