PostGE2025 Waziri Mkuu awatembelea marafiki zake mtaani 'Nimewakumbuka masela'

PostGE2025 Waziri Mkuu awatembelea marafiki zake mtaani 'Nimewakumbuka masela'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Baada ya wiki moja, hao hao wanaoulizwa wanaendeleaje, wakikutwa wamekaa hapo kikundi watapukutishwa wote bila kuulizwa tena wanaendeleaje.
Na wataenda kuzikwa maporini kwa mafungu🐼
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao.

Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo “Nikiwa naelekea kwenye shughuli za kiserikali, nilipata pia muda wa kusalimiana na majirani zangu. Ujirani mwema huleta amani, upendo na mshikamano.,”.

Anajisafisha kiaina lakini iko hiviii
Bro hii safari hutoboi

Utalipa mikopo yooote uliyochukua kuwezesha uhalifu wa O29

Jela ni yako ni swala la muda tu
Acha kujitembesha kama kuku aliyekatwa shingo.

Umesikua huko SĄ wameiambia ICC itolewe hati ya kukamatwa wahusika bro ngoma inogile

Mwambie na shosti wako mmachame hii safari naye hatoboi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu Mheshimiwa sana Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean Amewatembelea na kuwajulia hali Majirani Zake Wakati Akielekea katika Shughuli za Kiserikali.

Hii ikiwa ni muendelezo wa Tabia yake ya siku zote tangia akiwa na cheo na hata kabla ya kuwa na cheo . Tangia akiwa mbunge na hata kabla ya kuwa Mbunge. Kwake utu, unyenyekevu na ukarimu kwa watu ndio vimekuwa mbele zaidi. Siku zote amekuwa jirani na watu wote pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Ni mtu ambaye huishi na kushirikiana na watu wa matabaka yote. Ni mtu na kiongozi anayejua nini maana ya Maisha. Anajua uongozi ni dhamana tu na unapita . Ndio maana amekuwa akisaidia sana watu bila ubaguzi wa aina yoyote ile.

Ndio sababu kupitia yeye kuna watu wengi sana wameinuka,kupata tumaini na kutimiza ndoto zao. Ni kiongozi na mtu anayefika kwa urahisi na wepesi kabisa kwa wote wenye shida. Ni mtu aliyegusa maisha ya wengi sana. Kuwapa Tabasamu na matumaini waliokuwa wamekata tamaa.

Ni mtu wa watu na kipenzi cha wengi kwelikweli. Kwake mshahara nakipayi chake kimekuwa ni cha wote na siku zote hukirejesha kwa jamii. Maisha yake yamefanyika baraka kwa watu. Embu fikiria pamoja na cheo chake kikubwa na wadhifa alionao lakini bado anaendelea kujishusha na kuwatembelea na kuwajulia hali Majirani Zake.

Anajua Vyeo hupita tu na wala havidumu. Anajua amefika hapo kwa sababu ya watu waliomuunga mkono. Ndio maana siku zote yupo karibu na watu na kuwasikiliza watu wote. Ndio sababu anajua shida za watu na kuwa mwepesi sana kusaidia watu. Kwa hakika Ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wengi. Kwamba pamoja na ukubwa wa cheo bado kiongozi unapaswa kushuka kwa watu na kuzungumza nao. Hupaswi kujenga Uzio View attachment 3508992.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Qmmko
 
masela wake wapi waliomsandia kuchukua nae ubunge na Uwaziri mkuu au masela you WAPI?
 
Hilo neno jirani linavyorudiwa ni dhahiri hii ilikuwa ni script na actors wa me over act🤣🤣🤣🤣.

Mdelu ni wenzie wanahaha balaa.
 
Back
Top Bottom