ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Hongera sana Waziri mkuu huo ndio upendo Kwa watanzania wote bila kujali hali zao.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao.
Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo “Nikiwa naelekea kwenye shughuli za kiserikali, nilipata pia muda wa kusalimiana na majirani zangu. Ujirani mwema huleta amani, upendo na mshikamano.,”.
ULINZI wotee huo kuogopesha maraia...Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao.