Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.

Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa

Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
IMG_5732.jpeg
 
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.

Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasaView attachment 3269102
Hila hii nchi watu wanaitafuna hii ndo standi ya billion 4
 
Mh! hata kama sijawahi kuishika bill 4 lakini kwa hiyo stendi apeche alolo!
 
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.

Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasaView attachment 3269102
Daaaa haýo ma frame kubaoo ndio bil hizo zote ? Khaaaaa hayaa wajinga ndio waliwaooo
 
B4? Hapo kwenye picha ni upande wa nyuma wa iyo stend au au?

Em ninyamaze zangu mimi sitaki shida
 
uwanja uliozungushwa fremu ni bilioni 4.Tuacheni utani na yeye waziri mkuu anaitajika veta kusoma ili kutofautisha bilioni na matofali pamoja na vifaa vya ujenzi
🤣🤣🤣 VETA haikwepeki
 
Misemo ya wanafalsafa wa Afrika​

  • “Mpaka simba wawe na wanahistoria wao wenyewe, historia ya uwindaji daima itamtukuza wawindaji.” – Chinua Achebe
  • “Elimu ni silaha yenye nguvu zaidi ambayo unaweza kutumia kubadilisha ulimwengu.” – Nelson Mandela
  • “Mimi sio Mwafrika kwa sababu nilizaliwa Afrika, lakini kwa sababu Afrika ilizaliwa ndani yangu.” – Kwame Nkrumah
  • “Mkono unaozama chini ya chungu utakula konokono mkubwa zaidi.” – Wole Soyinka
  • “Ikiwa hupendi hadithi ya mtu, andika yako mwenyewe”- Chinua Achebe
  • “Tishio kubwa zaidi kwa uhuru ni kutokuwepo kwa ukosoaji.” – Wole Soyinka
  • “Ukitaka kujua nchi, soma waandishi wake.” – Aminatta Forna
  • “Hakuna kitu kisichotulia zaidi kuliko watu wenye mamlaka.” ― Dinaw Mengestu
  • “Hali ya wanawake katika taifa ndiyo kipimo halisi cha maendeleo yake.” – Ngũgĩ wa Thiong’o
  • “Elimu ni pasipoti yetu kwa siku zijazo, kwa maana kesho ni ya watu wanaoitayarisha leo.” – Maulana Karenga
  • “Hisia ni za Kiafrika, sababu ni za Kigiriki.” – Leopold Sedar Senghor
  • “Utukufu mkuu katika kuishi haupo katika kuanguka kamwe, bali katika kuinuka kila tunapoanguka.” – Nelson Mandela
Wewe naye kwenye vitu serious unajaza mamisemo yako yasiyo kichwa wala miguu.
 
Kikubwa hyo stendi ijengwe
Pesa inaweza kuliwa na stendi
Msiione 😄

Ova
 
Back
Top Bottom