Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo ni pesa za Monopoly au pesa halali ?!!!; Mbona wafanya utani...

Kwa kilichofanyika hapo wasingetumia hata pesa bali wangewaambia hivyo vibanda kuinamana watu wajijengee kwa kuwapa tender hence badala ya kutumia bilioni kadhaa wangekusanya bilioni kadhaa
 
Walau hawa wamejitambua wakaweka sakafu ngumu (concrete) ambayo inadumu; tofauti na wale walijenga stand kuu ya KORONGWE wakaweka pavement block sijui walikosea wapi; ndani ya mwaka, floor yote imesha chakaa. Hata sijui ni nani anapitia kuhakiki ubora kabla ya kukabidhiwa...pale tulipigwa!
 
Walau hawa wamejitambua wakaweka sakafu ngumu (concrete) ambayo inadumu; tofauti na wale walijenga stand kuu ya KORONGWE wakaweka pavement block sijui walikosea wapi; ndani ya miaka miwili, floor yote imesha chakaa. Hata sijui ni nani anapitia kuhakiki ubora kabla ya kukabithiwa
Ile stand haikukaa miaka miwili..mabasi tu yalipoanza kupitaa😀😀😀paves zikaanza kuchomoza kwa juuuu
 
Back
Top Bottom