Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
KODI ZA WATANGANYIKA HIZO.
LAANA ITAWATAFUNA.
NALISEMA HILI WAZI KABISA LAANA ITAWATAFUNA.
 
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.

Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa

Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3269102
Sijui kama inafika hiyo hela,ila tufanye ni Bilioni 4 Kwa sababu ya hiyo concrete surface hapo 😆😆
 
Hapo ndo imekamilika au inaendelea huko mbele
 
Tumepigwa.yaani hicho kilami na fremu uchwara zimelamba bilioni nne na waziri hajaona tatizo?
 
Her excellence wala hana habari, wala hatahoji, wala hajui nini kifanyike. Tuna kituko cha mwaka...
 
Yani uwanja uliozungushiwa sakafu na hizo flemu mbili tatu ndio bilioni 4 😳😳 au kuna kingine cha ziada hapo hatukioni, tena hiyo ilifaa kua stendi ya dala dala kabisa
 
Unapita Mbweni unakuta mahekalu ya kutisha. Bilioni nne inajenga hiyo stendi na mahekalu kama mawili.
 
Kuna angalau gani hapo?

Hii nchi inaliwa aisee na hawa wapuuzi CCM

Hiyo stand hardly Milioni 150.

Yaani nchi hii ina uwendawazimu wa kiwango cha ajabu sana.

Naifahamu sana hiyo stand, ni upuuzi mtupu. Hiyo stand hata bilioni 1 haiwezi ikaisha kuijenga.

Majitu yanaiba hela bila aibu, halafu na Waziri Mkuu eti anaizundua, na anaambiwa imegharimu bilioni 4, naye anaona sawa. Labda naye alipata mgao!!
 
Back
Top Bottom