Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.

Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasaView attachment 3269102
Hila hii nchi watu wanaitafuna hii ndo standi ya billion 4
 
Mh! hata kama sijawahi kuishika bill 4 lakini kwa hiyo stendi apeche alolo!
 
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.

Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasaView attachment 3269102
Daaaa haýo ma frame kubaoo ndio bil hizo zote ? Khaaaaa hayaa wajinga ndio waliwaooo
 
Angalao kuliko lile soko la Bilioni 5.9 ambalo ni upigaji wa wazi kabisa wa fedha za kodi ya Mtanzania.
 
B4? Hapo kwenye picha ni upande wa nyuma wa iyo stend au au?

Em ninyamaze zangu mimi sitaki shida
 
B4 bila hata ka ghorofa kakuzugia huu upigaji
 
uwanja uliozungushwa fremu ni bilioni 4.Tuacheni utani na yeye waziri mkuu anaitajika veta kusoma ili kutofautisha bilioni na matofali pamoja na vifaa vya ujenzi
🤣🤣🤣 VETA haikwepeki
 
Wewe naye kwenye vitu serious unajaza mamisemo yako yasiyo kichwa wala miguu.
 
Kikubwa hyo stendi ijengwe
Pesa inaweza kuliwa na stendi
Msiione 😄

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…