Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kuna angalau gani hapo?Angalao kuliko lile soko la Bilioni 5.9 ambalo ni upigaji wa wazi kabisa wa fedha za kodi ya Mtanzania.
Mpaka stend inaisha kuna.watu.wamejanga mahekalu ya kufa mtuLeo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasaView attachment 3269102
Kawashitaki mahakamani mzeeBillion 4?
Yaani million 4000?
Wizi kama wizi mwingine
Tuonyeshe yakwako uliyoijenga kwa bilion 4Hila hii nchi watu wanaitafuna hii ndo standi ya billion 4
Tuwe tu wakweli! Hii stendi thamani yake ni chini ya hizo bilioni 4.Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasaView attachment 3269102
Ile stand haikukaa miaka miwili..mabasi tu yalipoanza kupitaa😀😀😀paves zikaanza kuchomoza kwa juuuuWalau hawa wamejitambua wakaweka sakafu ngumu (concrete) ambayo inadumu; tofauti na wale walijenga stand kuu ya KORONGWE wakaweka pavement block sijui walikosea wapi; ndani ya miaka miwili, floor yote imesha chakaa. Hata sijui ni nani anapitia kuhakiki ubora kabla ya kukabithiwa
Halafu ile Magufuli stand mbezi Louis dar ni billion 7!Hila hii nchi watu wanaitafuna hii ndo standi ya billion 4
pigwa hii na PM kwa akili yake akaenda kuzindua kweli aiseeLeo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasaView attachment 3269102
Wakishapiga wanalipia mabango ya kumsifia Mama.Kuna angalau gani hapo?
Hii nchi inaliwa aisee na hawa wapuuzi CCM
Hiyo stand hardly Milioni 150.
Sawa mkuu.Wa
Kawashitaki mahakamani mzee