hii huipati vetaValue for money ndio nini jamani, huenda taarifa hii ikawa iko sawa
Huyu Engineer wa huu mradi anatakiwa kusema amekula pesa na wakina nani
Sijui kama inafika hiyo hela,ila tufanye ni Bilioni 4 Kwa sababu ya hiyo concrete surface hapo ππLeo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3269102
πππππππππππππLeo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3269102
Na juzi katoa boko tena watu wa degree waende Veta ilihali kuna kundi kubwa la watu Hawana kazi na wamemaliza veta alafu kuna watu wanampigia debe awe Rais"Mnataka Rais atoke aende wapi Rais ni mzima yupo anachapa Kazi"
Kuna angalau gani hapo?
Hii nchi inaliwa aisee na hawa wapuuzi CCM
Hiyo stand hardly Milioni 150.