Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Mkuu Tanzania hatuna upungufu wa sera, plan au wataalam.Tuna upungufu wa management na mfumo (system)."Rev. Kishoka, post: 22904175, member: 18"]Nashukuru kwa majibu kuhusiana na master plans. Je tumeshawahi kufanya tathmini ya kweli (Serikali) kujua kwa nini mipango miji imeendelea kukwama?
Tunarudi hapo juu, kwamba master plan ya Jiji inaeleza, lakini master plan haina nguvu kuliko vi-memo.Mfano, je kulikuwa na Ulazima gani kuongeza Maghorofa katikati ya Jiji la Dar badala ya kupanua mji viungani na kujenga new Dar Es Salaam?
Suala si pesa wala uwezo. Ni failure ya system inayotokana na corruption tu.Swala ni pesa? kwamba hatuna uwezo? je kuweka foundation ya planya mji mpya na kuruhusu ujenzi wake kuendelea kutumia sekta binafsi hauko?
Dar haiwezi kurudi katika hali ya multiple districts, ni beyond repair na gharama sanaSikonge an Nguruvi3 mmeongelea Dom kuwa na multiple districts ambazo ziko designated kwa mambo maalum, can Dar adopt the same? How about Mwanza, Mbeya, Iringa, Kigoma, Arusha na Morogoro?Just curious..
Masterplan ya DSM utaipata kwenye website ya wizara husika. Hii niliyoiweka hapa ni synopsis yake tu. DAR Masterplan 2010-2030.Can someone here....share the masterplan ya Dar es salaam au Dodoma?...
TUNASHAUHUDIA SABABU ZA KUSHINDWA KUPANGA MIJI
HAKUNA MWENYE MAMLAKA, KILA MMOJA NA TAMKO
SIASA NA KUTUNISHIANA MISULI TU, VURUGU TUPU
Tunaweza kuona mfano halisi leo hii. NEMC yenye mamlaka ya kuangalia mazingira ilitangaza kuvunjwa kwa makazi ya wananchi 17,000. Kwamba, iliridhia maeneo husika kutokidhi viwango, yabomolewe
Mkuu wa mkoa wa Dar kaja na tamko kutoka kwa Rais akizuia ubomoaji huo kwasababu tu hana taarifa
Hakuna sababu za kisayansi kupinga bomoa hiyo, bali kutokuwa na taarifa na kwamba si sera ya CCM
Suala zima limechukua sura ya kisiasa badala ya utaalam. Ingelikuwa vema mkuu wa mkoa akakutana na NEMC kujadiliana namna gani ya kufanikikisha zoezi au kusitisha na si kupitia mikutano ya hadhara
NEMC ipo chini ya serikali ikiwa na waziri husika. Hakuna shaka tangazo lao lilipata baraka za wizara husika
Katika mazingira ya 'Rais amesema' ni wazi kuna nguvu kubwa kuliko ya mamlaka husika
Nguvu ya Rais ipo kisheria na ina uhalali, tatizo, hakuna utaratibu wa kujadiliana miongoni mwa vyombo vyake. Rais anaongea na Mkuu wa mkoa pengine bila kumshirikisha waziri au uongozi wa NEMC
Suala hili ni la kitaifa na lilipaswa liangaliwe kwa mtazamo wa kitaifa chini ya wizara husika
Kwa lugha rahisi vyombo vingine kwasasa vina 'ufyata' kwasababu suala zima la kujadiliana kwa faida ya nchi linachukua sura ya 'ubinafsi', likidhalilisha wataalam na viongozi wa maeneo mengine
NEMC nayo kama CDA itashindwa, swali ni je itavunjwa?
Na iliyoshindwa ni NEMC kama chombo au ni mwingiliano wa majukumu usiozingatia taratibu !
Hatuwezi kupanga miji ikiwa kila mmoja 'ana sharub' na kwamba mipango miji si suala la kisiasa na kura
Kwa haya yanayotokea , tutaweza lolote katika mipango miji?
Tusemezane
Napenda washukuru Tanroads na "visa" vyao mpaka nafanya research ya highway construction duniani... learning upana wa single lane kuwa standard is between 10 to 12 feet and si kwa ajili ya urembo, factors kama safety na speed play part! Nikiwa very generous kusema tujenge 4 lane (8 lane total) road each lane ikiwa ni 4 meters wide (13 feet) with inside na outside curb shoulder of lanes ya 3 meters each (for emergency)...divider ya katikati at 10 meters na 2 meters each side ya mifereji and total road width comes to 58 meters wide...let say we add 16 meters more in the middle kwa mwendo kasi that gives us 74 meters wide... total meaning 37 meters from the center of the road...Hivi 121 meters each side from Katikati tunajenga nini?
Tulichokiona leo ni tatizo kubwa sana.Badala ya kufanya siasa, kwa nini basi hawakumtafuta waziri wa Maliasili na wairi wa Mazingira watoe tamko kubadilisha eneo hilo kutoka kuwa Greenbelt na liwe ni makazi kisheria?
Jambo hili liko kwenye mamlaka ya Waziri husika.
Sasa 10 years atakuja mtu mwingine na bomoabomoa nayo watu watashindwa kuelewa mbona Serikali kigeugeu?
This is what happened Kimara mpaka Kiluvia na bomoabomoa ta Tanroads! Wizara ya ardhi na sera za vijiji vya ujamaa vilijenga makazi ya watu along Morogoro road na hata jirani au juu ya road reserve ambayo inatokana na act ya 1932 na marekebisho ya !967 hadi 1969.
Iweje leo Tanroads ing'ang'anie sheria ambazo kwa miaka 60 zimeruhusu settlement na development pembeni mwa barabara?
Je huko Toangoma, nyumba ya kwanza ilipojengwa au pale Serikali ya mitaa ilipouza ardhi na kutoa hati, wakaguzi wa misitu wa Mkoa na wizara kwa nini walikaa kimya mpaka kukajengwa nyumba 17,000?
Kifyatu,Uko sahihi na dimensions ulizosema. Standard lane width kwa barabara zilizopo kwenye kiwamgo cha Expressway ni 12ft, including the shoulder.
Eneo linalowekwa kama road reserve lazima liruhusu maendelezo yajayo bila kuwasumbua watu. Maendelezo haya yanajumlisha:
1. Haja ya kujenga ramps kama kutakua na umuhimu wa kuwa na grade-separation kwenye intersections.
2. Kujenga local access roads kwa ajili ya matumizi ya local traffic zinazotembea taratibu.
3. Nafasi ya kujenga kuta za kuwakinga wakazi na noise pollution, noise abatement walls.
4. Sehemu ya kujenga concession facilities (vituo vya mafuta, traffic police shelters, toll facilities, n.k.)
Hii road reserve area inapaswa kupangwa ili itosheleze kwa kipindi cha lifecycle ya barabara ambayo ni miaka 20 (for asphalt/blacktop or flexible pavements ) na miaka 40 (for concrete or rigid pavements.)
WIDTHS AND RESERVE 27.—(1) The minimum width of roadway lanes for respective classes of roads shall be, width
(a) trunk roads, 3.25 metres;
(b) regional roads, 3.25 metres; and
(c) all classes of District roads, it is 3.1 metres.
2) The Morogoro Road shall have the following road reserve widths running from the junction of the United Nations Road measured in kilometers commencing at the Askari Monument-
(a) the United Nations Road to kilometer 10 (ex Dar es Salaam: 60 metres;
(b) kilometre 10 to kilometer 16: 90 metres;
(d) kilometre 16 to kilometre 37: 120 metres;
(e) kilometre 37 to kilometre 69: 60 metres;
(f) kilometre 69 to kilometre 70.60 (Ruvu Bridge) : 90 metres; and
(g) remainder of the road to Morogoro: 60 metres.
The simple answer Rev. Kishoka ni kuwa serikali has goofed up bigtime hapa. Kuna maeneo yaliyoko kwenye masterplans za nyuma yaliyotengwa kwa matumizi maalum (road reserve, open spaces, shule, n.k.). Mamlaka na vigogo husika ndio waliokuwa wanagawa/uza haya maeneo kwa unsuspecting wananchi ambao sasa wanabomolewa. Huwezi kuwaita hawa helpless citizens eti ni wavamizi.Kifyatu,
Ukifuatilia Sub ya 2009, kuna hiyo classificationyaupanaambazo zilichomekwa hapo 2009 ambazo zinapanua barabara drastically eneo moja bila kutoa msingi rasmi wa kwa nini eneo moja liwe na upana tofauti na mengine?
Kuna inconsistencies nyingi sana kuhusiana na Road Reserve Act na hata mamlaka aliyopewa Waziri na Act zote,zinaweza kubadilishwa kutokana na discretion ya waziri.
Swali la msingi najiuliza ni hili:
Kuzunguka Dar, kuna maeneo mengi sana inhabited..ni mapori na hakuna watu lakini ni maeneo bora sana kupanua barabara, kwa nini badala ya kuingia gharama kubwa na kusumbua wananchi (kuwatia hasara) kubomoa, barabara mpya zisijengwe kupanua na kupunguza congestion?
Ikiwaeneompaka Mbezi Louis au hata Kiluvia ni primary residential kutokana na plan za wizara ya ardhi, kwa nini barabara kuu mpya isijengwe kuzunguka nje ya eneo ambalo tayari lina watu? kwa nini wizara isifanye aquisition ya ardhi isiyo na watuau yenye watu kidogo kupanua barabara?
Lastly, si solution ya kwenda bandarini imewekwa kwenye mpango wa Chalinze Super Highway ambayo itaanzia hapo Kigamboni bridge? why create unrest Morogoro road na kupanua beyond the needed needs? Plus transit ya northcorridor si inapitia Msata kwenda kituo cha mabasi huko karibu na bunju?
I get your point ya kuangalia mbele, lakini pia, lazimahekima itumike na realities... will we need a 8 lane road?
Mhenga mwenzangu,The simple answer Rev. Kishoka ni kuwa serikali has goofed up bigtime hapa. Kuna maeneo yaliyoko kwenye masterplans za nyuma yaliyotengwa kwa matumizi maalum (road reserve, open spaces, shule, n.k.). Mamlaka na vigogo husika ndio waliokuwa wanagawa/uza haya maeneo kwa unsuspecting wananchi ambao sasa wanabomolewa. Huwezi kuwaita hawa helpless citizens eti ni wavamizi.
Serikali ya Magufuli inajaribu kusahihisha madhambi yaliyofanywa na mafisadi/wala rushwa wa serikali zilizopita but he is going about it the wrong way.
I don't care kama serikali inataka kuchukua mita 500 (badala ya mita 120) kila upande kwa ajili ya barabara. Serikali ina eminent-domain powers na wanaweza kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria. LAKINI, waathirika wote lazima:
1. Walipwe hela ya kutosha kuweza kujenga comparable structures elsewhere, pamoja na hela za usumbufu.
2. Wapewe ardhi yenye ukubwa sawa elsewhere.
3. Wapewe taarifa na muda wa kutosha kuweza kuhama with dignity.
4. Serikali iwashughulikie watumishi wake waliowalaghai watu hapo nyuma.
Serikali haiwezi kuajiri corrupt officers, wafanye madudu kwa unsuspecting individuals, halafu inawe mikono na kuathiri maisha ya hizi familia.
Kuna wengi hapa ni wastaafu, savings zao zote wamezitumbukiza kwenye nyumba, halafu all of sudden hawana kitu simply because some corrupt govt. officials were too greedy. This is government's responsibility.
Sorry for venting off, lakini it is unconscionable what the govt. is allowing to happen.
As you can see, I don't care very much kuhusu technical parameters za road reserve. People have been WRONGED here and the government MUST RIGHT IT.
Sent using Jamii Forums mobile app
The simple answer Rev. Kishoka ni kuwa serikali has goofed up bigtime hapa.
Serikali ya Magufuli inajaribu kusahihisha madhambi yaliyofanywa na mafisadi/wala rushwa wa serikali zilizopita but he is going about it the wrong way.
People have been WRONGED here and the government MUST RIGHT IT.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kabisa.Mhenga mwenzangu,
Naafikiana na wewe na hili jambo watu wanalichukulia kiushabiki sana badala ya kutafakari hoja ya msingi, bila kusoma na kutafakari sheria zinasemaje!
Nimesoma Act zote za Tanzania Highway Ordinance na Road Reserve 1932, 1967, 1969, 2007 na sub ya 2009: Kifupi pamoja na sheria kutamka highway na kuweka mipaka, Waziri ana mamlaka na say kubwa sana kisheria ya planning, creating, revoking, allowing and stopping!
Katiba yetu inazungumzia sana utu, haki na busara katika maamuzi.
Sheria zinabadilishwa na mwanadamu, hasa pale ambapo zinaonekana zinakandamiza au zitaleta madhara yasiyotakikana.
Waziri wa Ujenzi kisheria kama alivyo na uwezo kuwa na uhuru wa kuamua wapi barabara ijengwe,iwe na urefu au upana gani,hali kadhalika ana mamlaka na uwezo wa kubadilisha, kusitisha hata kufuta classification ya barabara.
Waziri ana nguvu na discretion kubwa ambayo wala si kudai ni usimamizi wa sheria "kujenga" pekee, pia kwa maana inampa "will" to decide how he can execute an act au operation!
Leo hii, Waziri ana discretion kusitisha bomoabomoa yote iliyoko Morogoro road, anaweza badilisha sub ya 2009 kuhusu upana wa barabara, anaweza kusema barabara isiwe trunk road ila iwe regional road.
Kama tunajenga Chalinze Superhighway kutoka Kigamboni mpaka Chalinze yenye lane 6 (3 kila direction) na ni toll road ili kupeleka mizigo bandarini na kufika junction ya Chalinze na dry dock mpya pale Chalinze, kwa nini hili eneo la Kimara lijengwe kwa upana wa lane 10?
Je kilio cha wananchi na adha ya kupelekana mahakamani si vinaweza kuepukwa kwa Waziri kutumia mamlaka yake kusitisha upanuzi huu na kuokoa gharama kwa wananchi na serikali?
Iweje kuwepo na ung'ang'anizi wa "kusimamia sheria" ilhali kuna provision ya kubadilisha sheria ikiwa inaonekana inanyang'anya haki na kuwa kero kwa jamii?
Kama ulivyosema, wahanga ama walipwe au Serikali ile ndimu na kufuta mchakato wa kupanua barabara hii.
Unasoma mawazo yangu moja kwa moja. Asante.Kuna makosa ya Watendaji - kiutendaji, policies, lack of clearing ambiguity kwenye sheria na la mwisho ni hilo la ufisadi na rushwa.
Mfano: Mkoa wa Dar umetunga sheria ambayo inapiga marufuku machinga na kuwahamisha waende eneo maalumu ya free trade roaming zone na si kila kona. Lakini kiongozi mwenye mamlaka makubwa zaidi anabadilisha decree hiyo kwa kutamka machinga wasisumbuliwe waachwe. In 5 years, anakuja kiongozi mwingine naye anasema atasimamia sheria na s/he execute the sheria contrary to discretion iliyofanywa na mkubwa aliyeruhusu machinga waendelee! Now this is what has happened to most of issues we are seeing today!
Serikali imekuwa ni tatizo na chanzo cha kero kwa wananchi kutokana na kufanya mambo kwa kukurupuka na kutoa mianya ya maamuzi binafsi (executive powers and orders) ambazo hazifanyiwi mchakato au hata kuwa na checks and balances.
Yes, Serikali ya awamu ya tano is "correcting" the wrong incorrectly. Inahukumu na kuadhibu majority ya watu ambao ni innocent to cover up incompetence ya awamu zilizopita.
Hapo Toangoma najiuliza, mtu wa kwanza alipofyeka eneo la hiyo hifadhi ya msitu, kwa nini kila authority ilikaa mguu pande mpaka sasa kuna nyumba 17,000?
Samething is taking place Dodoma.. jana nimesoma kuwa wanavunja hoteli na nyumba za watu ili kujenga makazi ya PM.... hivyo tunatumia fedha kujenga na bado tunawapa watu fidia.... who are the geniuses wanaoamua na kufanya haya mambo?
Kama Serikali ingekuwa ni sikivu, mbona mengi yangeshafanyika miaka mingi badala ya kutuma magenge na batalioni za upambe maandazi kupinga kila kitu?Unasoma mawazo yangu moja kwa moja. Asante.
Sasa great thinkers, serikali itasikiaje maoni haya mbadala? Au ni kilio nyikani?
cc. Nguruvi3
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali mara nyingi haifanyi vitu nje ya comfort zone yake. Inabidi ilazimishwe kufanya (make it do the right thing).Kama Serikali ingekuwa ni sikivu, mbona mengi yangeshafanyika miaka mingi badala ya kutuma magenge na batalioni za upambe maandazi kupinga kila kitu?
Dhana moja mbaya sana ni kudhani kuwa Serikali pekee na walio ndani ya serikali ndio wenye uwezo na upeo kuona mambo!
Very backwards thinking... worse enough ni vita inayotangazwa dhidi ya government critics amba unapiga domo na kuandika...what would happen ikitokea wengine wakaamua kufuata path ya Bujumbura, Lubumbashi au South Sudan?
Mkuu mwanga na giza havikai pamoja. Unawezaje kulazimisha halafu ukawa na diplomacy?"Kifyatu, post: 23161651, member: 28211"]Serikali mara nyingi haifanyi vitu nje ya comfort zone yake. Inabidi ilazimishwe kufanya (make it do the right thing).
serikali ifanye vitu nje ya matakwa yao ni:Makundi yanayoweza kuilazimisha
- Opposition,
- citizen pressure groups,
- civil society,
- national/international development partners,
- marafiki wa serikali,
- washauri wa serikali (eminent retirees)
- n.k.
Ni busara haya makundi kutumia diplomacy kuishawishi/lazimisha serikali kubadili muelekeo.
Ndiyo kazi ya opposition kwasababu forum yao ipo kwa jamii.Kuikomalia serikali kwa nguvu na kuiumbua hadharani ili ibadili utendaji wake siku zote kutakutana na resistance kali, jambo ambalo upinzani wetu hawajajifunza kufanya bado.
Ukiwa opposition una kazi ya kujipambanua katika sera wazi wazi na si kwa njia ya diplomacy.Hapa ninamaanisha kutumia diplomacy katika ushawishi au a diplomatic approach to negotiation.
Hey! mwenye nchi ndiye mwenye agenda anatakiwa kuwafikia wapinzani kutekeleza agenda zakeMfano, sijui kwa nini Mbowe hajaomba kukutana na Magufuli (one-on-one) faragha kujadiliana nae maoni yake kuhusu governance options.
'Kuchamba' serikali kuna maana ya kuisafisha kwa muktadha huo.Kila serikali ikifanya kitu siku zote upinzani wanachukua an adversarial mode na kuingia majukwaani kuichamba serikali.
Unapokuwa na multiparty system hakuna uhasamaMbinu hii inaweza kuwafurahisha wafuasi wako lakini ni guarantee kukujengea uhasama na serikali.
Napenda washukuru Tanroads na "visa" vyao mpaka nafanya research ya highway construction duniani... learning upana wa single lane kuwa standard is between 10 to 12 feet and si kwa ajili ya urembo, factors kama safety na speed play part! Nikiwa very generous kusema tujenge 4 lane (8 lane total) road each lane ikiwa ni 4 meters wide (13 feet) with inside na outside curb shoulder of lanes ya 3 meters each (for emergency)...divider ya katikati at 10 meters na 2 meters each side ya mifereji and total road width comes to 58 meters wide...let say we add 16 meters more in the middle kwa mwendo kasi that gives us 74 meters wide... total meaning 37 meters from the center of the road...Hivi 121 meters each side from Katikati tunajenga nini?
The simple answer Rev. Kishoka ni kuwa serikali has goofed up bigtime hapa. Kuna maeneo yaliyoko kwenye masterplans za nyuma yaliyotengwa kwa matumizi maalum (road reserve, open spaces, shule, n.k.). Mamlaka na vigogo husika ndio waliokuwa wanagawa/uza haya maeneo kwa unsuspecting wananchi ambao sasa wanabomolewa. Huwezi kuwaita hawa helpless citizens eti ni wavamizi.
Serikali ya Magufuli inajaribu kusahihisha madhambi yaliyofanywa na mafisadi/wala rushwa wa serikali zilizopita but he is going about it the wrong way.
I don't care kama serikali inataka kuchukua mita 500 (badala ya mita 120) kila upande kwa ajili ya barabara. Serikali ina eminent-domain powers na wanaweza kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria. LAKINI, waathirika wote lazima:
1. Walipwe hela ya kutosha kuweza kujenga comparable structures elsewhere, pamoja na hela za usumbufu.
2. Wapewe ardhi yenye ukubwa sawa elsewhere.
3. Wapewe taarifa na muda wa kutosha kuweza kuhama with dignity.
4. Serikali iwashughulikie watumishi wake waliowalaghai watu hapo nyuma.
Serikali haiwezi kuajiri corrupt officers, wafanye madudu kwa unsuspecting individuals, halafu inawe mikono na kuathiri maisha ya hizi familia.
Kuna wengi hapa ni wastaafu, savings zao zote wamezitumbukiza kwenye nyumba, halafu all of sudden hawana kitu simply because some corrupt govt. officials were too greedy. This is government's responsibility.
Sorry for venting off, lakini it is unconscionable what the govt. is allowing to happen.
As you can see, I don't care very much kuhusu technical parameters za road reserve. People have been WRONGED here and the government MUST RIGHT IT.
Sent using Jamii Forums mobile app