Waziri Mkuu: Epukeni Waandishi binafsi na Walinzi Binafsi

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
29 October 2021
Dodoma, Tanzania

Semina iliyoendeshwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper, jijini Dodoma Tanzania

Waziri Mkuu amewasisitiza viongozi hao waepuke matumizi ya walinzi binafsi na waandishi wa habari binafsi katika Ofisi za Umma kwani wanaweza kuwa chanzo cha uvujaji wa siri za Serikali. “Upo utaratibu wa kufuata endapo itabainika mnahitajika kupatiwa wasaidizi hao. Zingatieni utaratibu huo na si vinginevyo.
Source : Global TV online

Habari kwa urefu :​

Majaliwa: Mawaziri na Naibu Mawaziri kemeeni rushwa​

00e1f358c1ecb66b56da9b89cc73c852
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri na Naibu Waziri wasimamie taasisi na idara zilizopo chini ya wizara zao ili zizingatie vigezo vyote vya utawala bora pamoja na kukemesha vitendo vya rushwa ambavyo ndio adui mkubwa wa utawala bora.

“Ninapenda kuwakumbusha kuwa ninyi ni nyenzo muhimu katika utendaji wa Serikali, hivyo wazembe, wezi na wabadhirifu waliopo chini ya mamlaka zenu lazima wote wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Serikali. Kila kiongozi lazima awe makini muda wote.”

Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Ijumaa, Oktoba 29, 2021) wakati alipofungua Mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Naibu Mawaziri katika Ukumbi wa Mtakatifu Gasper jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na Taasisi ya Uongozi.

Amesema lengo la mafunzo hayo ni kupanua uelewa wa Mawaziri na Naibu Mawaziri kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi ikiwa ni pamoja na kuelewa majukumu, madaraka na mipaka ya nafasi zao, kuongoza watu, kufanya maamuzi ya kimkakati na kuboresha sifa binafsi za kiuongozi.

Amesema ubadhirifu unatakiwa ushughulikiwe mapema kwa weledi na utaalam bila kulazimika kusimamisha utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa muda mrefu na hatua zichukuliwe bila kuoneana haya kama kuna ushahidi wa wazi kabla hata Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hajakagua au viongozi wa juu kuchukua hatua.

Amewataka viongozi hao kutumia mada zitakazowasilishwa ili ziweze kuwasaidia katika kuzisimamia vyema Wizara wanazoziongoza na taasisi zilizo chini ya wizara zao ”mwende mkazisaidie taasisi hizo ili ziweze kutekeleza majukumu yake bila kikwazo chochote. Nendeni mkawe msaada kwao”

Kadhalika, Waziri Mkuu amewataka viongozi hao kwa kushirikiana na Taasisi zingine waendelee kusimamia amani na utulivu kwenye maeneo yao ili watu waendelee kufanya shughuli zao bila wasiwasi wowote. “Amani na utulivu ndiyo itatuwezesha kama nchi, tuendelee kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza mitaji yao hapa nchini.”

“Tunakumbushwa sisi viongozi wa Tanzania tuwe wazalendo na tuhakikishe tunaziendeleza rasilimali za nchi hii kwa faida ya Watanzania wote bila ubaguzi wa jinsia, kabila, dini na rangi ili mradi mtu hajavunja sheria. Tuwahudumie Watanzania wote kwa usawa.”

Pia, Waziri Mkuu amewasisitiza viongozi hao waepuke matumizi ya walinzi binafsi na waandishi wa habari binafsi katika Ofisi za Umma kwani wanaweza kuwa chanzo cha uvujaji wa siri za Serikali. “Upo utaratibu wa kufuata endapo itabainika mnahitajika kupatiwa wasaidizi hao. Zingatieni utaratibu huo na si vinginevyo.”

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Management ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Uongozi ihakikishe inaendelea kuandaa mafunzo ili kujadili masuala mbalimbali kuhusu miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini, hususan ile inayosimamiwa na Ofisi ya Rais.

“Nia ni kutoa ujuzi, maarifa na taarifa kwa viongozi kutoka kwenye sekta mbalimbali juu ya umuhimu wa miradi hii. Kutokana na umuhimu wa miradi ya kimkakati, mikutano hii ni ya lazima.”

Pia, Waziri Mchengerwa ameziagiza wizara, idara na taasisi zote za Serikali zihakikishe zinatenga bajeti kwa ajili ya kuwapeleka watumishi viongozi kushiriki katika mafunzo yanayoandaliwa na kutolewa na Taasisi ya Uongozi ili kuwaimasha kiutendaji.

Source : PMO | Habari

Semina elekezi za nn tena wajameni, au ni namna tu ya kutumbua posho?

kama waziri/naibu waziri haelewi majukumu na mipaka ya kazi yake si umuondoe uweke mwingine!

watz kibao wameelimika hawahitaji tena semina elekezi za kuwafundisha namna ya kuwa kiongozi bora

nchi yetu bado ni masikini tutumie pesa za walipa kodi vizuri badala ya kulipana posho
 
semina elekezi za nn tena wajameni, au ni namna tu ya kutumbua posho?!

kama waziri/naibu waziri haelewi majukumu na mipaka ya kazi yake si umuondoe uweke mwingine...
Umeambiwa wanalipana posho kwenye hizo Semina? Zinasaidia hizi kuwakumbusha watu waache ujinga!! Naamini yule Mwalimu wa UDOM aliyekamatwa juzi angekutana na hivi visemina asingefanya upuuzi aliofanya!

Akina Kihongosi walikuwa wanachapa watu viboko enzi zile sababu ya kukosa Semina kama hizi!
 
Vipi mawakili binafsi. sekta binafsi?
Mkuu Magobe T , hoja yako hii ni muhimu sana, kufafanuliwa kwa kina.

Mimi nilivyoelewa ni wale viongozi wa serikali wanaotumia walinzi binafsi na média binafsi as personal preferences. Mfano namfahamu waziri mmoja ana his personal media team for content generation wanaoandamana na waziri husika everywhere.

Tatizo la kuitegemea only the government team, some hawana the abilities and capabilities.

Hata Bro alipoingia akapiga marufuku sekta binafsi kuandaa vipindi vya serikali, kazi hiyo wakapewa TBC only, lakini ukweli unabaki kuwa TBC pekee haiwezi!. Hata BBC na CNN wanakila kitu lakini bado wana outsource some of the contents.

Sisi sekta binafsi pia tuko kisheria, hili lisipofafanuliwa kikamilifu litaweza kutafsiriwa vibaya na kuitekelezwa vibaya kwa sekta binafsi kuwa marginalized.

Wanaotoa siri za serikali nje sio sisi waandishi wa habari bali ni kina kikulacho!.

Sisi waandishi binafsi wenye inside info kuhusu madudu ya serikali, tungeamua kuyaanika, kuna watu siku nyingi wangefurushwa kwenye ile nyumba yetu pale!. Wengi wenu ni wazalendo, tunasikia mengi na tunanyamaza kwa kuwa objective na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P
 
Sure kiongozi. Tatizo la ku'leak' information linaweza kuwa la kimaadili au kimasilahi zaidi kuliko kuwa la waandishi binafsi. Kama unavyosema waandishi wa habari binafsi wako everywhere na huenda ndio wanaohabarisha dunia zaidi kuliko wengine - kwa maana ya habari za kiuchunguzi na zinazoisaidia jamii kwa sababu wao ni kama 'kuku wa kienyeji'.
 
Kumbe kuna wanasiasa wenye waandishi binafsi, ndio maana kila kukicha makelele ya fulani anafaa kuwa Rais hayaishi, watu wanapewa bahasha za kaki huko wanatulisha propaganda zao, ujinga kabisa, huu ndio mlango mmojawapo wa rushwa unaotakiwa kufungwa.
 
Mkuu Magobe T , hoja yako hii ni muhimu sana, kufafanuliwa kwa kina.

Mimi nilivyoelewa ni wale viongozi wa serikali wanaotumia walinzi binafsi na média binafsi as personal preferences. Mfano namfahamu waziri mmoja ana his personal media team for content generation wanaoandamana na waziri husika everywhere.

Tatizo la kuitegemea only the government team, some hawana the abilities and capabilities.

Hata Bro alipoingia akapiga marufuku sekta binafsi kuandaa vipindi vya serikali, kazi hiyo wakapewa TBC only, lakini ukweli unabaki kuwa TBC pekee haiwezi!. Hata BBC na CNN wanakila kitu lakini bado wana outsource some of the contents.

Sisi sekta binafsi pia tuko kisheria, hili lisipofafanuliwa kikamilifu litaweza kutafsiriwa vibaya na kuitekelezwa vibaya kwa sekta binafsi kuwa marginalized.

Wanaotoa siri za serikali nje sio sisi waandishi wa habari bali ni kina kikulacho!.

Sisi waandishi binafsi wenye inside info kuhusu madudu ya serikali, tungeamua kuyaanika, kuna watu siku nyingi wangefurushwa kwenye ile nyumba yetu pale!. Wengi wenu ni wazalendo, tunasikia mengi na tunanyamaza kwa kuwa objective na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P
Mimi hakuna kitu kinanishangaza kama hiki kiitwacho SIRI za serikali, hivi serikali iko kwa ajili ya nani hasa? Serikali ni kikundi kilichopewa dhamana kufanya kwa ajili ya wananchi, sasa ghafla eti utasikia siri za serikali. Na ukija kufuatilia hizo zinazoitwa siri unakuta ni mambo ya hovyo, ya aibu, hujuma, rushwa etc...
 
Naam, nadhani hata Sabaya alikuwa na mpiga picha wake (yule shahidi wa juzi), na walinzi wake binafsi waliokuwa wanajinadi kuwa ni ma afisa usalama wa taifa. Mwisho wa siku wameishia kuwa majambazi.

Japo tunatambua sababu za ujambazi wake ni malezi mabaya kutoka kwa namba moja wa wakati ule, alifurahia ujambazi wa kijana wake kwakua alikuwa anawaumiza watanzania wanaitwa 'wapinzani'.
 
Mkuu Magobe T , hoja yako hii ni muhimu sana, kufafanuliwa kwa kina.

Mimi nilivyoelewa ni wale viongozi wa serikali wanaotumia walinzi binafsi na média binafsi as personal preferences. Mfano namfahamu waziri mmoja ana his personal media team for content generation wanaoandamana na waziri husika everywhere.

Tatizo la kuitegemea only the government team, some hawana the abilities and capabilities.

Hata Bro alipoingia akapiga marufuku sekta binafsi kuandaa vipindi vya serikali, kazi hiyo wakapewa TBC only, lakini ukweli unabaki kuwa TBC pekee haiwezi!. Hata BBC na CNN wanakila kitu lakini bado wana outsource some of the contents.

Sisi sekta binafsi pia tuko kisheria, hili lisipofafanuliwa kikamilifu litaweza kutafsiriwa vibaya na kuitekelezwa vibaya kwa sekta binafsi kuwa marginalized.

Wanaotoa siri za serikali nje sio sisi waandishi wa habari bali ni kina kikulacho!.

Sisi waandishi binafsi wenye inside info kuhusu madudu ya serikali, tungeamua kuyaanika, kuna watu siku nyingi wangefurushwa kwenye ile nyumba yetu pale!. Wengi wenu ni wazalendo, tunasikia mengi na tunanyamaza kwa kuwa objective na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P
Kwa hiyo kwa mfano Sabaya alivyokuwa akitekeleza operesheni zake ama kwa kutumwa au kujituma ili kutanua wasifu wa umahiri (competence profile) akitumia walinzi binafsi ndio walivujisha siri za serikali ndio maana kila mmoja amempa kisogo abebe msalaba wake? Kwamba ni kweli harakati zake serikali kuu ilikuwa inafahamu lakini haikuchukua hatua kwa kuwa ilikuwa inanufaika kwa njia moja au nyingine?

Tatizo liko hapa sio visingizio la kuwa na walinzi binafsi

'Surveillance' and Intelligence Collection Approach
1. Human Source Intelligence (HUMINT)-involves collection of information from human being by interviewing in a manner that won't be suspected on the intention gathering such information and for which purpose
2. Open Source Intelligence (OSINT)-involves reference of information from newspapers, radio broadcast, television, conferences, meeting and document sharing
3. Measurement and Signature Intelligence (MASINT)-involves weapons possession and handling-government has procedure in place (was it consistently and ethically complied)?
4. Signals Intelligence (SIGINT)-involves electronic data or message transfer through electronic devices with unique identity (IMEI, IP address etc)-senior government officials are provided with controlled numbers for convenient tracking and monitoring breach of ethics (Is this being practically happening)?
5. Technical Information Source Intelligence (TECHINT)-involves scientists and equipment technical operators for photography taking, filming, or electronic interception
6. Telemetry Information source Intelligence (TELINT)
7. Electronic Intelligence (ELINT)
8. Imagery Information Source Intelligence (IMINT)
9. Communication Information Source Intelligence (COMINT)

*The above intelligence collection approach if consistently, ethically and professionally handled, leaking of classified government information shall be effectively controlled from falling into the wrong hands. It has to be borne in mind that confidential information leaking is facilitated to slip out by a second eye next to the trustable official not expected to act adversely.

Have they thought about drivers, gardeners, cooks, housekeeping, messengers, personal secretaries, electronic devices such mobile phone, signing ball-pen, vision glasses, wrist watches, earrings, bracelets, micro-chip and buttons on clothes that can be implanted with hidden electronic devices to record whatever live event you are physically involved or network linked to?

The defeat is obvious 'who you trust most is the convenient access medium to be penetrated by adversary
 
Duh...!. Kwa nondo kama hizi, wewe lazima utakuwa sio mwenzetu, wewe ni 'wale jamaa žeru.

Naona tunapewa nondo za 'kitengo' jinsi ya ukusanyaji, uchakataji na kupata utambuzi pia maana ndani ya habari zitakazo kabidhiwa na kupokelewa na mkuu mezani.
 
Toka maktaba :

11 April 2021

Msemaji 'asiye rasmi' wa serikali Cyprian Musiba enzi zake

Moto Umewaka Musiba aibuka Utawala wa rais Samia Suluhu Hassan, Azungumzia Kifo cha Magufuli Watanzania tuungane.
Source : KINGCHARZ TV

N.B
Cyprian Musiba uandishi wake wa hiyari ulikuwa unaonesha mapungufu ya vyombo rasmi vya serikali kutoa taarifa kwa wakati na kina hivyo kushindwa kukidhi hamu ya walaji wa habari motomoto kuhusu uasilia wa kinachoendelea ktk nchi au Cyprian Musiba alikuwa mwandishi anayetumika kwa kificho na watawala ?
 
Mkuu Magobe T , hoja yako hii ni muhimu sana, kufafanuliwa kwa kina.

Mimi nilivyoelewa ni wale viongozi wa serikali wanaotumia walinzi binafsi na média binafsi as personal preferences. Mfano namfahamu waziri mmoja ana his personal media team for content generation wanaoandamana na waziri husika everywhere.

Tatizo la kuitegemea only the government team, some hawana the abilities and capabilities.

Hata Bro alipoingia akapiga marufuku sekta binafsi kuandaa vipindi vya serikali, kazi hiyo wakapewa TBC only, lakini ukweli unabaki kuwa TBC pekee haiwezi!. Hata BBC na CNN wanakila kitu lakini bado wana outsource some of the contents.

Sisi sekta binafsi pia tuko kisheria, hili lisipofafanuliwa kikamilifu litaweza kutafsiriwa vibaya na kuitekelezwa vibaya kwa sekta binafsi kuwa marginalized.

Wanaotoa siri za serikali nje sio sisi waandishi wa habari bali ni kina kikulacho!.

Sisi waandishi binafsi wenye inside info kuhusu madudu ya serikali, tungeamua kuyaanika, kuna watu siku nyingi wangefurushwa kwenye ile nyumba yetu pale!. Wengi wenu ni wazalendo, tunasikia mengi na tunanyamaza kwa kuwa objective na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P
Good content. Ila na nyie sasa msinyamazage muwe mnaripoti tu hayo Madudu ili kuwe na uwajibikaji. You watchdogs.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kwa mfano Sabaya alivyokuwa akitekeleza operesheni zake ama kwa kutumwa au kujituma ili kutanua wasifu wa umahiri (competence profile) akitumia walinzi binafsi ndio walivujisha siri za serikali ndio maana kila mmoja amempa kisogo abebe msalaba wake? Kwamba ni kweli harakati zake serikali kuu ilikuwa inafahamu lakini haikuchukua hatua kwa kuwa ilikuwa inanufaika kwa njia moja au nyingine?

Tatizo liko hapa sio visingizio la kuwa na walinzi binafsi

'Surveillance' and Intelligence Collection Approach
1. Human Source Intelligence (HUMINT)-involves collection of information from human being by interviewing in a manner that won't be suspected on the intention gathering such information and for which purpose
2. Open Source Intelligence (OSINT)-involves reference of information from newspapers, radio broadcast, television, conferences, meeting and document sharing
3. Measurement and Signature Intelligence (MASINT)-involves weapons possession and handling-government has procedure in place (was it consistently and ethically complied)?
4. Signals Intelligence (SIGINT)-involves electronic data or message transfer through electronic devices with unique identity (IMEI, IP address etc)-senior government officials are provided with controlled numbers for convenient tracking and monitoring breach of ethics (Is this being practically happening)?
5. Technical Information Source Intelligence (TECHINT)-involves scientists and equipment technical operators for photography taking, filming, or electronic interception
6. Telemetry Information source Intelligence (TELINT)
7. Electronic Intelligence (ELINT)
8. Imagery Information Source Intelligence (IMINT)
9. Communication Information Source Intelligence (COMINT)

*The above intelligence collection approach if consistently, ethically and professionally handled, leaking of classified government information shall be effectively controlled from falling into the wrong hands. It has to be borne in mind that confidential information leaking is facilitated to slip out by a second eye next to the trustable official not expected to act adversely.

Have they thought about drivers, gardeners, cooks, housekeeping, messengers, personal secretaries, electronic devices such mobile phone, signing ball-pen, vision glasses, wrist watches, earrings, bracelets, micro-chip and buttons on clothes that can be implanted with hidden electronic devices to record whatever live event you are physically involved or network linked to?

The defeat is obvious 'who you trust most is the convenient access medium to be penetrated by adversary
Uko nondo sana
 
Good content. Ila na nyie sasa msinyamazage muwe mnaripoti tu hayo Madudu ili kuwe na uwajibikaji. You watchdogs.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mkuu @ng'wamangilingili, usemayo ni kweli, the media was suppossed to muhumili, a fouth protocal or fourth estate to be a watchdogs, but very unfortunately Tanzania sisi hatuna media zenye uwezo huo!. Media zenye uwezo huo ziko nchi za wenzetu zilizoendelea.

Mfano yule mwana jf mwenzetu aliyeidurusu ile Ph.D ya yule jamaa yetu akakuta ni copy cat, ingekuwa ni nchi za wenzetu, pale pale Ibara ya 46A ya katiba ya JMT ingeingia lakini. Do you know what happened to Ben Saanane wetu?. Sasa sisi media baada ya kukiona kinachuwakuta wanaoibua madudu, siku na wewe ukikuta madudu utayaibua?!.
P
 
Back
Top Bottom