Waziri Mkuu: Epukeni Waandishi binafsi na Walinzi Binafsi


Waziri Mkuu aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura anapokemea wezi wengine!
 
siri za serikali ni kuficha zambi zao
 

Kabisa, nyingi ya hizo siri za serikali ni upigaji na uvunjwaji mkubwa wa sheria
 
Hivi Cyprian Musiba ni mwandishi wa habari kitaaluma?
Zamani vyuo vya habari ilikuwa viwili tuu Tanzania nzima, TSJ na Nyegezi, hivyo waandishi wote wa zamani tunajuana.

Lakini siku hizi vyuo viko vingi na fani imevamiwa hivyo hatujuani. Unaweza kukuta alisomea mahali ila kiukweli anaonekana kama ni kilaza fulani hivi!. Mimi namuona sio tuu kama ni kilaza fulani, namuona kama ni kichaa fulani hivi!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…