Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,236
Nyerere alifukuza mawaziri kadhaa na bila kuvunja balazaWaziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alifukuza mawaziri kadhaa na bila kuvunja balazaWaziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Katiba ya JMT 1977Mabadiriko ya Baraza la mawaziri yaliyofanywa na Rais ni sawa na kulivunja Baraza na kuliunda upya hivyo baada ya Spika wa Bunge kupatikana litapelekwa jina la mtu atakayependekezwa kuwa Waziri Mkuu ili athibitishwe na bunge!
Katiba ya JMT 1977Tuwekee na 57(2)(e), mnakurupuka kujadili mambo mazito wakati hamna akili.
Mabadiriko ya Baraza la mawaziri yaliyofanywa na Rais ni sawa na kulivunja Baraza na kuliunda upya hivyo baada ya Spika wa Bunge kupatikana litapelekwa jina la mtu atakayependekezwa kuwa Waziri Mkuu ili athibitishwe na bunge!
Ni Mkapa Tu nafikiri hakuwahi kuvunja hilo Baraza la mawaziri, lakini Nyerere, Mwinyi, JK wote hawakusita kuvunja hayo mabaraza, ndiyo maana tuna orodha ndefu ya mawaziri wakuu, Nyerere, Kawawa, Sokoine, Salim Ahmed Salim, Warioba, Cleopa Msuya, John Malecela, Sumaye, Lowassa, Pinda, now Majaliwa
Wakati huu Kikwete Ndio mshauri Mkuu wa Rais hivyo Baraza limeishavunjwa na jipya kuapishwa hivyo tunangoja uchaguzi wa Spika na waziri Mkuu kuthibitshwa!!!
Hiyo ni reshuffle; sio kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri. Linavunjwa kwa kumuondoa PM.
Umeambiwa uweke unawatukana, sasa unajionaje wewe kama unaandika na huwezi kuwaonyesha unayopinga!!!Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisa anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Hakupewa nafasi ya ? Kwani ilikuwaje?Kwani Waziri Mkuu hawezi kubadirishwa Wakati wa hiyo unayoiita reshuffle? Kwani Kassim mlimsikia akitoa nasaha pale baada ya mawaziri kuapishwa kama ilivyozoeleka huko nyuma??
Hakupewa nafasi ya ? Kwani ilikuwaje?
Tunajua sana kwan nani alikuambia hatujuiMnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Waziri mkuu haondolewi kama waziri wa kawaida, kumbuka waziri mkuu anaidhinishwa na kikao kikuu cha bunge, hivo wanaomuondoa waziri ni bunge kwa kupiga kura ya no confidence, au amue yy kujiuzulu lakini kwa njia yyte atakayoachia ngazi waziri mkuu automatic baraza Zima la mawaziri linakuwa limevunjikaWaziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?