Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

Mabadiriko ya Baraza la mawaziri yaliyofanywa na Rais ni sawa na kulivunja Baraza na kuliunda upya hivyo baada ya Spika wa Bunge kupatikana litapelekwa jina la mtu atakayependekezwa kuwa Waziri Mkuu ili athibitishwe na bunge!
Katiba ya JMT 1977
51.- (3) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, Waziri Mkuu atashika kiti cha Waziri Mkuu hadi- (a) siku ambapo Rais mteule ataapa kushika kiti chake; au
 
Tuwekee na 57(2)(e), mnakurupuka kujadili mambo mazito wakati hamna akili.
Katiba ya JMT 1977
51.- (3) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, Waziri Mkuu atashika kiti cha Waziri Mkuu hadi- (a) siku ambapo Rais mteule ataapa kushika kiti chake; au
 
Mabadiriko ya Baraza la mawaziri yaliyofanywa na Rais ni sawa na kulivunja Baraza na kuliunda upya hivyo baada ya Spika wa Bunge kupatikana litapelekwa jina la mtu atakayependekezwa kuwa Waziri Mkuu ili athibitishwe na bunge!

Membe ni next PM
 
Ni Mkapa Tu nafikiri hakuwahi kuvunja hilo Baraza la mawaziri, lakini Nyerere, Mwinyi, JK wote hawakusita kuvunja hayo mabaraza, ndiyo maana tuna orodha ndefu ya mawaziri wakuu, Nyerere, Kawawa, Sokoine, Salim Ahmed Salim, Warioba, Cleopa Msuya, John Malecela, Sumaye, Lowassa, Pinda, now Majaliwa
 
Wakati huu Kikwete Ndio mshauri Mkuu wa Rais hivyo Baraza limeishavunjwa na jipya kuapishwa hivyo tunangoja uchaguzi wa Spika na waziri Mkuu kuthibitshwa!!!
 
Hiyo ni reshuffle; sio kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri. Linavunjwa kwa kumuondoa PM.

Kwani Waziri Mkuu hawezi kubadirishwa Wakati wa hiyo unayoiita reshuffle? Kwani Kassim mlimsikia akitoa nasaha pale baada ya mawaziri kuapishwa kama ilivyozoeleka huko nyuma??
 
Umeambiwa uweke unawatukana, sasa unajionaje wewe kama unaandika na huwezi kuwaonyesha unayopinga!!!
 
Kwani Waziri Mkuu hawezi kubadirishwa Wakati wa hiyo unayoiita reshuffle? Kwani Kassim mlimsikia akitoa nasaha pale baada ya mawaziri kuapishwa kama ilivyozoeleka huko nyuma??
Hakupewa nafasi ya ? Kwani ilikuwaje?
 
Kwani Waziri Mkuu hawezi kubadirishwa Wakati wa hiyo unayoiita reshuffle? Kwani Kassim mlimsikia akitoa nasaha pale baada ya mawaziri kuapishwa kama ilivyozoeleka huko nyuma??
Mkuu mbona unaleta ubishi usio na tija?
 
Tunajua sana kwan nani alikuambia hatujui
 
Waziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Waziri mkuu haondolewi kama waziri wa kawaida, kumbuka waziri mkuu anaidhinishwa na kikao kikuu cha bunge, hivo wanaomuondoa waziri ni bunge kwa kupiga kura ya no confidence, au amue yy kujiuzulu lakini kwa njia yyte atakayoachia ngazi waziri mkuu automatic baraza Zima la mawaziri linakuwa limevunjika
 
Kama yuko madarakani kwa wizi wa kura na inaonekana sawa, kuna ugumu gani kumtoa? Au umeishiwa hoja?
 
Kama kuna wabunge wa kuwasimamia mawaziri, vyeo ambavyo haviko kisheria, ndio itakuwa kumtoa huyo waziri mkuu na kumuweka mwingine? Ingekuwa kuna anayejali gharama hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…