Waziri Mkuu: Huduma kwa Wananchi Heshima na Ufanisi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Isimani-Iringa
🗓️Juni 5, 2026
———————————

Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa.
 
Bora wame ignore hii mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…