Na siyo dhahabu iliyo katika model ya beberu π?Kipindi cha Mzee Mkapa, Mkapa akiwa Rais na Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi waliwahi kupewa dhahabu na GGM! Mkapa alipewa tofali na Magufuli koreo,sasa sijui waliyapeleka wapi hawa watu
Am pretty sure PM ameepuka kujiweka kwenye deni na hao watu. A person anakupa Tanzanite later on atakupa bangili kisha atakuambia uwe mwenyekiti wa bodi baadaye anaanza kuomba favors.Unless it was staged, sisi wanawake tunajijua vizuri sana.
ππππ
Hakuna rangi Mheshimiwa ataacha kuona. π€π€π€£π€£
Safi Sana PM wetu,hakika wee ni mzalendo wa kweli, ubarikiwe Sana!!
Majaliwa for presidency
ππππMajaliwa for President !