Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.

Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.

Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.

Source: Watetezi TV

kweli Hatuna maadaili:

1. Cheni Ni ya mke
2. Hajafikisha zawadi
3. Anaigawa

Kwa mamlaka ipi?
 
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.

Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.

Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.

Source: Watetezi TV
Huu Ni mfumo dume. Mkufu kapewa Mkewe alafu yeye ndio atanagaze uuzwe? Unafki mwingine bwana!
 
Huu nao ni upumbavu kama upumbavu mwingine.
Nchi iliyomeza matrilioni ya fedha ardhini bado tunaletewa maigizo ya kipumbavu.
Huyo angekuwa na akili angegeuza rasilimali kuwa fedha ambazo zingejenga madarasa bora nchi nzima na si kuchekea pesa za COVID 19
 
Unless it was staged, sisi wanawake tunajijua vizuri sana.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hakuna rangi Mheshimiwa ataacha kuona. [emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Kama wewe ungekuwa mke wake wiki mzima kulala mzungu wa nne?
 
Huo ni uonevu yaani ameona mwanamke mwenzetu atafaidi sana.
 
Kama wewe ungekuwa mke wake wiki mzima kulala mzungu wa nne?
Si mpaka giza liingie ndo tulale.

Angenipa cheni kabla hatujafika nyumbani.

Cheni yangu ikajengee bweni? Ooliskia wapi Mr Kassim.
 
Back
Top Bottom