uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV
kweli Hatuna maadaili:
1. Cheni Ni ya mke
2. Hajafikisha zawadi
3. Anaigawa
Kwa mamlaka ipi?