Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

Unless it was staged, sisi wanawake tunajijua vizuri sana.

😁😁😁😁

Hakuna rangi Mheshimiwa ataacha kuona. 🤭🤭🤣🤣
Kwani inawezekana kweli mama PM hakuwa na mkufu wa dhahabu au tanzanite? Au ina maana PM hawezi kumnunulia my wife wake mkufu wa tanzanite? Ni vizuri viongozi wa wananchi wanapoepuka mitego ya wazi ya wafanyabiashara.
 
Unless it was staged, sisi wanawake tunajijua vizuri sana.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hakuna rangi Mheshimiwa ataacha kuona. [emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni mke wa Waziri wa nchi, hana sifa za nyie wanawake njaa kali! Ukiwa mkubwa lazima uchague bhana, unafikiri hao wakuu wanaoa oa tu kwa kuokoteza vitu vya ajabu ajabu kama nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unless it was staged, sisi wanawake tunajijua vizuri sana.
😁😁😁😁
Hakuna rangi Mheshimiwa ataacha kuona. 🤭🤭🤣🤣

Kwa hiyo kuna mtu atanuniwa hatari....😁😁
 
Atamnunulia kwa mshahara wake ambayo itakuwa na thamani zaidi ya hiyo zawadi.
Huyo ni mke wa Waziri wa nchi, sio kama hao vinuka mkojo akina Mwajuma mnaowaokoteza huko mitaani, huyo amelelewa, ana hela na yuko very smart. Hawezi kufanya upuuzi ambao 'mademu' wenye njaa ndio hufanya.
 
Watu wa haki za wanawake wako wap jmn! Mama kaporwa mkufu bila idhini yake😂😂😂
 
Wawe makini huyo piemu ni janja janja sana, huenda sio madini ni jiwe kalipaka rangi.
Kama aliweza kudanganya msikitini kwa imani yake hiyo atashindwa vipi kutoa boko nje ya msikiti.
 
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.

Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.

Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.

Source: Watetezi TV
Duh. Yaani Mke wa Waziri Mkuu anavaa mkufu wenye thamani ya bweni Zima ... Hiyo si itakuwa zaidi ya 40 million....!!? Au bei ya bweni ni Tshs ngapi? Kweli watu wana jeuri.
 
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.

Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.

Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.

Source: Watetezi TV
Ameogopa yasimkute yaliyomkuta Mkapa na kiroba cha dhahabu.
 
PM yuko makini bana,kwa miaka hiyo aliyokalia hicho kiti huwez kumshikisha yai bovu kirahis rahis hvy😄😄aaayaaah!
Liuzen nyny wenyew na tusikie mmejenga bweni za watot wenu. Na tutahtaji kujua value for money ipo
....!
Bwege snaa nyieee

Mayai mabovu anayashika sana huko kwao kwenye korosho!!!
 
Kipindi cha Mzee Mkapa, Mkapa akiwa Rais na Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi waliwahi kupewa dhahabu na GGM! Mkapa alipewa tofali na Magufuli koreo,sasa sijui waliyapeleka wapi hawa watu
Hi ni kweli au Ni stori za kwenye gahawa, maana nimeanza kuisikia hi stori muda mrefu sana
 
hongera majaliwa,kwa kutegua mtego .usijisahau unawindwa kwa Kasi ya 9G
 
Back
Top Bottom