Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

Anajifanya eti hajiimbikizii mali. Hawa ndo wezi wenyewe sasa
 
naunga mkono hoja, sheria hiyo inaruhusu watumishi wa umma tuu, zawadi hiyo ni kwa mke wa Majaliwa, wake wa viongozi sio watumishi wa umma.
P
Mweza wa Kiongozi nae ni Kiongozi indirectly kwenye swala la kimaadili.
Ndio maana kwenye Assets and Liability declaration, vinajazwa mpaka vinavyo milikiwa na wenza na watoto walio chini ya 18 yrs.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mama huku mtaani watu hawatutaki hata kumsikia ... kuna watu ndani ya mfumo wamempa mkeka mbovu achafuke haswaa , kumbe kuna wanaowaandaa waje wamrithi yeye akiwa anashangaa tu
 
Hii awamu navyojuwa ni ya marehemu kwa maana ni awamu ya mkristo kwa miaka yake 10 mpaka 2025.. 2025-2040 ni muislamu. Ndivyo katiba inasema

Kama nimekosea nisahihishe kiongozi
Hakuna katiba ya namna hiyo mkuu
 
Kuna mtu juzi juzi kafanyia happy birthday mahala patakatifu, hii ni hatari. Mahali pale ndio pakufanyia birthday jamani
 
Kipindi cha Mzee Mkapa, Mkapa akiwa Rais na Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi waliwahi kupewa dhahabu na GGM! Mkapa alipewa tofali na Magufuli koreo,sasa sijui waliyapeleka wapi hawa watu
Kumwogopa Mungu ni Jambo jema sana.
 
Back
Top Bottom