Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.[emoji2827][emoji2827][emoji2827]Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia...
Acha upuuzi JoNgoja waje bavicha!
Siyo Sukuma gang? Maana ndio watoto yatima na wajane kazi kulialia mitandaoni.Ngoja waje bavicha!
Huyu si ndiye mwenye jiwe busy na mafaili?Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia...
Hahahaaaa....... CCM ni chama kikubwa bwashee hata Chadema iko ndani yake!Siyo Sukuma gang? Maana ndio watoto yatima na wajane kazi kulialia mitandaoni.
NEC WamezunguukwaAmeanza Kampeni za Uraisi mapema sana,au kwasababu ni zamu ya muisilamu?
Dead Party kinaenda kuzikwa tumshukuru Mungu Watanzania.NEC Wamezunguukwa
Chapa kazi kama wewe ndo huyo injinia, mambo ya uongo uongo watanzania tumechoka.Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia...
Ukilala bavicha ukiamka Chadema, una hamu sana na bavicha bi,dada.Ngoja waje bavicha!
Haka kakiumbe kanachooitwa Majaliwa haka ni kaongo kaongo sana, mda wote kanasema uwongo…
Rais ni buheri wa afya,anachapa kazi.Mlitaka aende feri au Kariakoo?🤡🤡🤡Haka kakiumbe kanachooitwa Majaliwa haka…🤡🤡🤡🤡🤡
NakaziaNgoja waje bavicha!
Longo longo at his best, chanya ya wapi wakati watu kila siku wanalia tu hata miamala ukiwatumia unaambiwa nitumie na za kutolea....