Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

Ana siasa za kishamba na kilaghai. Kaulizs kwanini taa hamna, Injinia kachukua maiki ile kaongea maneno mawili tu kamkatiza. Kwanini asimuache aongee ili tujue ukweli?
Inatisha kwa kweli...binafsi nilikuwa namuamini Sana, lakini aaaah..
Sijui kitu gani kimempata our PM...wale waliojilipa posho pale hazina dah...
 
Tangu alipotupiga kamba kuwa Magufuli yuko vyema na anaendelea na majukumu yake ya kiofisi (ikulu) kumbe mzee wetu anapigania maisha yake ..kwanzia hapo huyu Ca-phone sijawa
Pengine walimislead info wale jamaa waliopanga ziara za ghafla
Tangu alipotupiga kamba kuwa Magufuli yuko vyema na anaendelea na majukumu yake ya kiofisi (ikulu) kumbe mzee wetu anapigania maisha yake ..kwanzia hapo huyu Ca-phone sijawahi mkubali.
 
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia...
Kiukweli Hayo (dart) mabus yalikuwa pale ubungo inland terminal (dry port) tangia 2018
 
Ameanza Kampeni za Uraisi mapema sana,au kwasababu ni zamu ya muisilamu?

Ccm mpo?🤨
Dini na maslahi makubwa ya taifa wapi na wapi?!!!

Wanaopenda hisia koko za udini huwa wana UPOGO WA FIKRA.....

#SiempreJMT
 
Kiukweli Hayo (dart) mabus yalikuwa pale ubungo inland terminal (dry port) tangia 2018
Watu wa Kimara wameteseka sana wakati mabasi 70 wameyazuia Bandarini.
 
Katika vitu CCM wanajua ni kutumia ujinga wa watanzania kama mtaji wao wa kisiasa, kimsingi suala la kutumbua mtumishi aliyeajiriwa kwa mkataba bila kufuata taratibu za kinidhamu na kuachisha kazi ni uvunjifu wa sheria
 
Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia.

Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza ukaongea wewe tu na mwisho akatumbuliwa wakati mlikuwa mmezuia mabasi 70 bandarini kisa kodi.

Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.
umemuona enhee huyu na mkuu wa mkoa wa Dar wanani-bore sana yaani utendaji zero! Dar uchafu kila kona ila kila siku mkuu wa mkoa wa dar ni mwendo wa mabambio tu na kutoa kauli ila kuunda taskforce ya kushughulikia swala la usafi yaani watu wa Jiji na manispaa mpaka kata na kugawana majukumu hakuna!
 
Back
Top Bottom