Hoja yangu wala sio kufukuza mtu.Labda rejea nafasi ya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais. Hizi mbili haziko ngazi moja hata kidogo. Makamu wa Rais ni cheo kikubwa sana kuliko Waziri Mkuu. Samia anaweza kumfukuza Majaliwa lakini hawezi kumfukua Mpango kwa neno lake tu...
Yaani bado utumishi ina endesha mashirika.Kufanya hayo unayoyatamani kunahitaki akili kubwa ,sio hizi za kuungaunga!
Haiwezi kua ghafla bin vuu uchumi ukakua subira inahitajika mkuu,lakin kwa nn tunayumba kama nchi ?hatuna mifumo imara kila anaekuja anakuja na yake kwa utaratibu huu hatuwezi fika popote
Unachotaka kifanya kifanyike ni possibly ni complete privatisation, kitu ambacho serikali haijaamua kukifanya. Serikali bado inaamini kwenye kushikiria na kuendesha vitega uchumi.Hoja yangu wala sio kufukuza mtu
Hoja yangu hapa Nani anaesimamia hiyo kujenga uchumi??
Na kama moja ya mambo yalioumiza uchumi ni centralisation ..why centralisation inaendelea?Nani anaetakiwa kusimamia decentralisation?
Hapana unless hauko informedUnachotaka kifanya kifanyike ni possibly ni complete privatisation, kitu ambacho serikali haijaamua kukifanya. Serikali bado inaamini kwenye kushikiria na kuendesha vitega uchumi.
kwa maelezo yako katiba mpya ni muhimu sanaHaiwezi kua ghafla bin vuu uchumi ukakua subira inahitajika mkuu,lakin kwa nn tunayumba kama nchi ?hatuna mifumo imara kila anaekuja anakuja na yake kwa utaratibu huu hatuwezi fika popote
Hiki kitengo ana kimudu barabara!! 😁😁Na alivyomuongo muongo sasa
Suala la Ajira zote za serikali kupelekwa UTUMISHI nadhani ipikuwa ni maboresho na kupunguza malalamiko ya upendeleoHapana unless hauko informed
Ntakupeleka mfano
Zamani wakati wa Mkapa na JK
Mashirika mfano NHIF walikuwa
Wana ajiri
Bado uko kwenye maana yangu ile ile. Serikali bado inaamini inaweza kuendesha njia kuu za uchumi na kuanzisha vitega uchumi.Alipokuja Magufuli akafanya centrelisation.
Hanunui chochote Hadi waziri aseme...
Yes Africa kusini Wana naibu Rais.
Hawana Waziri mkuu..
Wanapewa kichwa na waimba mapambio na wafurahia bambikabambika wakiamini ndio ukuaji wenyewe.Samia anasema anajenga uchumi..
Nani msimamizi wake mkuu?
Majaliwa?Au Mpango?....
Nchi nyingi tu zenye VP hazina PM.Yes Africa kusini Wana naibu Rais.
Hawana Waziri mkuu..