Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili za uchumi wa tozo, sijuiii.......Sasa nachoshangaa why hawafanyi reverse ya haraka ukue uchumi?
centralisation ni mfumo wa kidikteta uliotumika karne za 18 hadi 19 - yaani mapato yote ya nchi yanakusanywa sehemu moja then ni mtu mmoja tu ndiyo anayefanya allocation na ndiyo anayekuwa kauli ya mwisho.
Huu mfumo katu hauwezi kuisogeza nchi mbele.
Vyeo vya kisiasa hivyo vinavyotafuna Kodi za wananchi. "Président in waiting" hata kama aliyeko madarakani atamaliza mihura yote.Mimi nauliza tu, why Raisi, Makamu wa Raisi na waziri mkuu at the same time?
Naamini kuna nafasi hapo haihitajiki, ni basi tu!
Bora tumjadili Manara na Babra mkuuMkuu unaongea mambo makuubwa wakati unajua wazi tunaongozwa na viongozi wa aina gani...utaumiza kichwa (cha juu) bure!.
Centralization ni suala la sheria na Katiba. Tanzania kwa kiasi kikubwa hasa linapokuja suala la fedha iko extremely centralized. Msimamizi wa yote ni Chama Tawala. Hadi kibadili Sera au Chama chenye Sera nyingine kiingie madarakani.Hoja yangu wala sio kufukuza mtu.
Hoja yangu hapa Nani anaesimamia hiyo kujenga uchumi?
Na kama moja ya mambo yalioumiza uchumi ni centralisation why centralisation inaendelea?Nani anaetakiwa kusimamia decentralisation?
Samia anasema anajenga uchumi.
Nani msimamizi wake mkuu?
Majaliwa? Au Mpango?
Tofauti ya awamu ya tano na sita kiuchumi ni ipi?
Centralisation ni moja ya mambo yalioua uchumi why decentralisation haifanyiki?
Why mawaziri bado wanaimarisha centralisation?
Mashirika yanaendeshwa na Utumishi.
Na Mawaziri wakurugenzi wote ni Rubber stamps.
Makusanyo yote serikali kuu.
Halafu wanapangiwa bajeti ambayo haitoshi.
Kwanini decentralisation haifanyiki kwa haraka? Tunaua uchumi huku bado tunasema tunafufua uchumi?
Wala huelewi katiba ni nini. Katiba ni muongozo jinsi nchi iendeshwe. Inawezesha kuundwa sheria mbalimbali sio yenyewe ndio inaelezea kila kitu unachofikiria wewe.Sababu katiba ya sasa haina vipengele vikali vya kuwawajibisha hao wanaokiuka katiba yenyewe, na hapo ndo umuhimu wa kuipitia upya katiba ya sasa ....
Centralization ni suala la sheria na Katiba. Tanzania kwa kiasi kikubwa hasa linapokuja suala la fedha iko extremely centralized. Msimamizi wa yote ni Chama Tawala. Hadi kibadili Sera au Chama chenye Sera nyingine kiingie madarakani.