Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
ANASIMAMIA KICHWA..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mfumo onezi na usio na tija una jenga watu badala ya mifumocentralisation ni mfumo wa kidikteta uliotumika karne za 18 hadi 19 - yaani mapato yote ya nchi yanakusanywa sehemu moja then ni mtu mmoja tu ndiyo anayefanya allocation na ndiyo anayekuwa kauli ya mwisho.
Huu mfumo katu hauwezi kuisogeza nchi mbele.
Hawa unaowaleleza haya sijui kama hizo akili wanazo.Samia anasema anajenga uchumi.
Nani msimamizi wake mkuu?
Majaliwa? Au Mpango?
Tofauti ya awamu ya tano na sita kiuchumi ni ipi?
Centralisation ni moja ya mambo yalioua uchumi why decentralisation haifanyiki?
Why mawaziri bado wanaimarisha centralisation?
Mashirika yanaendeshwa na Utumishi.
Na Mawaziri wakurugenzi wote ni Rubber stamps.
Makusanyo yote serikali kuu.
Halafu wanapangiwa bajeti ambayo haitoshi.
Kwanini decentralisation haifanyiki kwa haraka? Tunaua uchumi huku bado tunasema tunafufua uchumi?
😅😅ANASIMAMIA KICHWA..
Yule Baba mwongo aisee ni balaaNa alivyomuongo muongo sasa
Watakula wapi sasa?Mimi nauliza tu, why Raisi, Makamu wa Raisi na waziri mkuu at the same time?
Naamini kuna nafasi hapo haihitajiki, ni basi tu!
SERIKALI HAIPASWI KUONGOPA! ANAJISAHAU ANAFANYA MAMBO YA KISIASA..Yule Baba mwongo aisee ni balaa
Decentralisation ndio una maana gani? Au unategemea serikali ya ccm iondoe regulation?.. Yaani udhibiti wa uchumi? Hiyo ndio silaya yake iloyobaki kuhakikisha haki na usawa kwenye uchumi. Unataka wawekezaji na wafanyabiashara wafanye watakavyo dhidi ya umma wa wananchi? Yaani kuna watu mnaimbishwa kama kasuku. Ukiona kwenye katiba wamesema nchi itaenda kwa misingi ya ujamaa ndio hii kudhibiti sekta binafsi wawekezaji na wafanyabiashara ili uchumi uwe unakua kwa wote... kwa faida ya umma.Samia anasema anajenga uchumi.
Nani msimamizi wake mkuu?
Majaliwa? Au Mpango?
Tofauti ya awamu ya tano na sita kiuchumi ni ipi?
Centralisation ni moja ya mambo yalioua uchumi why decentralisation haifanyiki?
Why mawaziri bado wanaimarisha centralisation?
Mashirika yanaendeshwa na Utumishi.
Na Mawaziri wakurugenzi wote ni Rubber stamps.
Makusanyo yote serikali kuu.
Halafu wanapangiwa bajeti ambayo haitoshi.
Kwanini decentralisation haifanyiki kwa haraka? Tunaua uchumi huku bado tunasema tunafufua uchumi?
Majaliwa ni one of the hopeless PM this Country has ever had in history..Samia anasema anajenga uchumi.
Nani msimamizi wake mkuu?
Majaliwa? Au Mpango?
Tofauti ya awamu ya tano na sita kiuchumi ni ipi?
Centralisation ni moja ya mambo yalioua uchumi why decentralisation haifanyiki?
Why mawaziri bado wanaimarisha centralisation?
Mashirika yanaendeshwa na Utumishi.
Na Mawaziri wakurugenzi wote ni Rubber stamps.
Makusanyo yote serikali kuu.
Halafu wanapangiwa bajeti ambayo haitoshi.
Kwanini decentralisation haifanyiki kwa haraka? Tunaua uchumi huku bado tunasema tunafufua uchumi?
Sababu katiba ya sasa haina vipengele vikali vya kuwawajibisha hao wanaokiuka katiba yenyewe, na hapo ndo umuhimu wa kuipitia upya katiba ya sasa ....Katiba mpya haibadilisha tabia zetu. Katiba ya sasa inavunjwa lakini mamlaka hazichuki hatua.
Kwa vile umeoongezea nyama hoja sasa nimeelewa. Mwanzoni nilifikiri decentralization kwa maana ya taasisi a serikali (hasa zile zinazokusanya pesa) kujikusanyia hela, kujipangia matumizi na kutoa tu report huko juu tu kwamba tumekusanya hiki na tumetumia hivi.
Kwa muktadha wa unachokizungumzia nadhani ni jambo linaloeleweka. Sina ubishi nalo hata kidogo. Ifahamike tu kwamba ile centralization ya Magufuli ilikuwa ni ad hoc reaction kutokana na kile alichokishuhudia kwenye awamu iliyomtangulia. Ni kama mtu aliyekuwa ndani ya sytem huku moyoni akijiwazia kuwa akiwa Rais atatupilia mbali mambo aliyohisi ni ya ovyo. Kumbe akaja kuwa. Katika kutupa mambo ya ovyo akatupa beseni na mwana aliyekuwemo ndani yake.
Kuna baadhi ya mambo ya kurekebisha ili private sector irejeea na kuoperate bila kuleta ukakasi. Miongoni mwa ukakasi huo ni pale private sector inapokosa uaminifu na uadilifu katika mashirikiano yake na serikali. Inapotokea kwa mfano habari ikaleak kwamba taasisi fulani ya serikaili imeingia mkataba fulani wa kifisadi na kampuni fulani binafsi, wapo watu kibao dizaini za Magufuli ambao hawatafurahishwa na miendendo hiyo.
Mjadala uwe ni je ni namna gani bora ya kuejesha sekta binafsi itakayodili na serikali bila janja janja?
Sometimes nafikiri kwamba the onus is on the private sector kujiprove kwamba wanastahili, wanaweza na wanaaminika. Hawahitaji janja kuishi mjini.
Yes! Kassimu huwa ni muongo muongo; alafu uwongo wake huwa ni wa kishamba kishamba.Na alivyomuongo muongo sasa
Juzi niliona Rais akipokelewa na jopo la viongozi wote wakuu ngazi ya juu akitokea Rwanda.Samia anasema anajenga uchumi.
Nani msimamizi wake mkuu?
Majaliwa? Au Mpango?
Tofauti ya awamu ya tano na sita kiuchumi ni ipi?
Centralisation ni moja ya mambo yalioua uchumi why decentralisation haifanyiki?
Why mawaziri bado wanaimarisha centralisation?
Mashirika yanaendeshwa na Utumishi.
Na Mawaziri wakurugenzi wote ni Rubber stamps.
Makusanyo yote serikali kuu.
Halafu wanapangiwa bajeti ambayo haitoshi.
Kwanini decentralisation haifanyiki kwa haraka? Tunaua uchumi huku bado tunasema tunafufua uchumi?
Decentralisation ndio una maana gani? Au unategemea serikali ya ccm iondoe regulation?.. Yaani udhibiti wa uchumi? Hiyo ndio silaya yake iloyobaki kuhakikisha haki na usawa kwenye uchumi. Unataka wawekezaji na wafanyabiashara wafanye watakavyo dhidi ya umma wa wansnchi? Yaani kuna watu mnaimbishwa kama kasuku. Ukiona kwenye katiba wamesema mchi itaenda kwa misingi ya ujamaa ndio hii kudhibiti sekta binafsi wawekezaji na wafanyabiashara ili uchumi uwe unakua kwa wote... kwa faida ya umma.
Kwa vile umeoongezea nyama hoja sasa nimeelewa. Mwanzoni nilifikiri decentralization kwa maana ya taasisi a serikali (hasa zile zinazokusanya pesa) kujikusanyia hela, kujipangia matumizi na kutoa tu report huko juu tu kwamba tumekusanya hiki na tumetumia hivi.
Kwa muktadha wa unachokizungumzia nadhani ni jambo linaloeleweka. Sina ubishi nalo hata kidogo. Ifahamike tu kwamba ile centralization ya Magufuli ilikuwa ni ad hoc reaction kutokana na kile alichokishuhudia kwenye awamu iliyomtangulia. Ni kama mtu aliyekuwa ndani ya sytem huku moyoni akijiwazia kuwa akiwa Rais atatupilia mbali mambo aliyohisi ni ya ovyo. Kumbe akaja kuwa. Katika kutupa mambo ya ovyo akatupa beseni na mwana aliyekuwemo ndani yake.
Kuna baadhi ya mambo ya kurekebisha ili private sector irejeea na kuoperate bila kuleta ukakasi. Miongoni mwa ukakasi huo ni pale private sector inapokosa uaminifu na uadilifu katika mashirikiano yake na serikali. Inapotokea kwa mfano habari ikaleak kwamba taasisi fulani ya serikaili imeingia mkataba fulani wa kifisadi na kampuni fulani binafsi, wapo watu kibao dizaini za Magufuli ambao hawatafurahishwa na miendendo hiyo.
Mjadala uwe ni je ni namna gani bora ya kuejesha sekta binafsi itakayodili na serikali bila janja janja?
Sometimes nafikiri kwamba the onus is on the private sector kujiprove kwamba wanastahili, wanaweza na wanaaminika. Hawahitaji janja kuishi mjini.
Unachosema kina mantiki kubwa sana...Infact hizi serikali mbili ya local na central ni replication na hazijajitofautisha katika roles zake kama ilivyopaswa; kisha ina weak link ndiyo maana ile ya central iliyotakiwa iweze kushughulika na policies pekee the Dejure ime nyang'anya roles za ile ya local ambayo ilitakiwa kuwa defacto i.e operational yaani tendaji at production level...
Matokeo yake kuna power struggle na inefficient allocation of resources and utilization....The total sum ni mkwamo kwenye economic growth...Tunakuwa kwakua hakuna jinsi huwezi kukua kwakua growth ni natural lakini haipo programmed wala strategized...
Bwana yule aliyetangulia ndo aliua halmashauri, wengine ni mwendo wa kudemka na ngoma waliyoikuta....Yaani bado utumishi ina endesha mashirika.
Bado kila mtumishi atibiwe na NIHF.
Bado makusanyo yote hazina.
Ma MD wote kama picha..yet wanalipwa milions.
Kila kitu bado kiko kwenye centrelisation.
Na inazidi kuimarishwa..