Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasimamia nini?

Ni mfumo onezi na usio na tija una jenga watu badala ya mifumo
 
Hawa unaowaleleza haya sijui kama hizo akili wanazo.
 
Majaliwa kiufupi hana anachojua ni kama jibwa flani hivi linasubiri likishasakiziwa likamate kama halijasakiziwa kitu linalala linakoromaaaaa kimsingi hamna mtu pale , ni jamaa asiye na msimamo unajua alivyo kuwa ana behave wakati wa mwenda zake na sasahivi yaani
 
Decentralisation ndio una maana gani? Au unategemea serikali ya ccm iondoe regulation?.. Yaani udhibiti wa uchumi? Hiyo ndio silaya yake iloyobaki kuhakikisha haki na usawa kwenye uchumi. Unataka wawekezaji na wafanyabiashara wafanye watakavyo dhidi ya umma wa wananchi? Yaani kuna watu mnaimbishwa kama kasuku. Ukiona kwenye katiba wamesema nchi itaenda kwa misingi ya ujamaa ndio hii kudhibiti sekta binafsi wawekezaji na wafanyabiashara ili uchumi uwe unakua kwa wote... kwa faida ya umma.
 
Majaliwa ni one of the hopeless PM this Country has ever had in history..
Toka siku ile alivyotutumka msikitini kudai JPM ni mzima na yupo ofc anachapa kazi wakati kiukweli kuna uwezekano jamaa alishapotea mazima nilimtoa maana.
 
Katiba mpya haibadilisha tabia zetu. Katiba ya sasa inavunjwa lakini mamlaka hazichuki hatua.
Sababu katiba ya sasa haina vipengele vikali vya kuwawajibisha hao wanaokiuka katiba yenyewe, na hapo ndo umuhimu wa kuipitia upya katiba ya sasa ....
 
Mambo ya janja janja huwa hayaishi, lakini mkiwa na taasisi imara na independent na zimewezeshwa kwa kila kitu kama vile Scorpion' na Hawks za huku RSA, mnaweza kabisa punguza changamoto na kupata mafanikio ktk issue unazozungumzia za corruption malpractice zinazotokea kati ya sekta binafsi na serikali na sio kama Takukuru ambayo mara nyingi inakuwa sio independent au toothless ktk kudeal na changamoto unazosema.......
 
Juzi niliona Rais akipokelewa na jopo la viongozi wote wakuu ngazi ya juu akitokea Rwanda.

Nilijiuliza sana mantiki ya viongozi wote hao kuchoma mafuta kwa lengo la kumpokea mwenyeji kazi ambayo, ingeweza kufanywa na kamati ya usalama ya mkoa.🤔
 

Soma post zote
Watu wamefafanua zaidi
 

Private sector janja janja lazima zitakuwepo
Kinachotakiwa ni udhibiti tu
Mfano Ile kulazimisha kampuni za simu ziende kuwa listed DSE ni njia ya kudhibiti janja janja..
Wakiwa listed wanakuwa transparency .
Hawawezi sema hawajapata faida
 

Yaani huu mkwamo ndo shida kuu ya uchumi kwa sasa .
Taasis nyingi hazijui clear policy ikoje..
Watu wanaamua Tu kukubali yaishe
 
Reactions: Ame
Yaani bado utumishi ina endesha mashirika.

Bado kila mtumishi atibiwe na NIHF.

Bado makusanyo yote hazina.

Ma MD wote kama picha..yet wanalipwa milions.

Kila kitu bado kiko kwenye centrelisation.

Na inazidi kuimarishwa..
Bwana yule aliyetangulia ndo aliua halmashauri, wengine ni mwendo wa kudemka na ngoma waliyoikuta....
 
Lakini wewe unaongeza chumvi kidogo hivi la utumishi kuajiri linakosa gani?
Taasisi now zinataka kuajiri watu 300 mfano
Kibali kinatoka watu 20..

Mradi Utumishi ndo anasimamia haifai
Bora taasisi zijisimamie zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…