Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi Wetu Wanawaza Kupita Bila Kupingwa Kwenye Uchaguzi
Kwanza kabisa baraza Tanzania Limewahi Kuvunjwa Mara Mbili tu kama Sijakosea Sana..Kwamba Katiba inampa pingimizi yeye Kufukuzwa ? Turudi hata kwa Ndugai alivyojiuzulu, kwamba alifanya hivyo kama Mzalendo au angeshindwa kubaki kwenye kiti and to fight for his life? Au aliona atoke to sababu angeweza kuanza kupigwa mawe and since anaishi kwenye Jengo la Kioo huenda sasa hivi angekuwa ameshatupwa ndani kwa scandal zake za nyuma...
Scandal ilitokea under his watch na kuhusika kwake hadi akaone atoke sasa kama alikuwa hajui hili wala lile kwanini alitoka ? (Vyoyote vile hata kama sio direct lazima alihusika by association)
Mara ngapi Baraza limeshavunjwa ? Hata Mwinyi tu nadhani alishavunja mara mbili...,
Uzalendo kwa Rais au Uzalendo kwa Wananchi ? Ndio maana nakwambia angekuwa mzalendo yaliyotokea under his watch tena yanayohusu sekta ya Nishati na wellbeing ya kila aina is not far from being a traitor to your country..
Ila ndio hivyo ashukuru sana hata Chadema kwa kumsafisha as at one time alijulikana kama mmoja kati ya mchwa waliolitafuna hili Taifa since beginning of time (Ila ndio hivyo Wasiasa mwisho wa siku wanakwambia he was the best ever na mabaya yote haikuwa yeye bali wengine)
Weee Acha mambo yako nani ajiudhuru , eee mimi Ka telefoni mimi, thubutuuuKijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa
Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana
Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha
Unakufa ukiwa unaona inauma Sana
Bora wanaougua tunawauguza na wanakufa
Toka aondoke baba wa Taifa nchi hii haijawai kuwa serious kwenye majanga na vita
Nyerere alituvusha Vita ya kagera na janga la njaa Kali kuwai kutokea
Unajiuliza je kwa sasa nchi ikivamiwa itakuwaje? Uliona tu kashikashi za Mtwara watu walivyokufa!!
Mabomu ya Mbagala, mabomu ya Gongo la mboto watu walivyokufa kama inzi.
Tetemeko la ardhi bukoba, kuanguka kwa ndege bukoba watu walivyokufa kizembe.
Sasa ni mwendelezo huo huo hakuna utawala unajali kuhusu uhai wa raia
Vaa viatu vya kijana anayekufa akiwa na miaka 25 au 28 bila hata kufanya chochote hapa duniani Tena kwa uzembe tu wa watu
Hivi gorofa la 20×20 linafukuliwa kwa zaidi ya masaa 24 na bado linafukuliwa ?
Waziri mkuu hii ni Mara ya ngapi unazengua ?
Waziri mkuu must go pia na Rais lazima aondoke 2025
Hatuwezi kuendelea kuwa na watu ambao hawajui kesho itakuwaje hawana plan zozote za maisha ya watu wao
Ukweli majanga ya Tanzania ni madogo Sana Sana je tungekuwa Kama Japan Hali ingekuwaje?
Waziri Mkuu must go ili Mdude ndio awe Waziri Mkuu?Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa

Inge kuwa ni wizi wa kura na kuteka watu, saa hizi Ccm wanesha maliza mchezo. Kwa haya mengine tumuombe Mungu awe upande wetu.Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa
Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana
Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha
Unakufa ukiwa unaona inauma Sana
Bora wanaougua tunawauguza na wanakufa
Toka aondoke baba wa Taifa nchi hii haijawai kuwa serious kwenye majanga na vita
Nyerere alituvusha Vita ya kagera na janga la njaa Kali kuwai kutokea
Unajiuliza je kwa sasa nchi ikivamiwa itakuwaje? Uliona tu kashikashi za Mtwara watu walivyokufa!!
Mabomu ya Mbagala, mabomu ya Gongo la mboto watu walivyokufa kama inzi.
Tetemeko la ardhi bukoba, kuanguka kwa ndege bukoba watu walivyokufa kizembe.
Sasa ni mwendelezo huo huo hakuna utawala unajali kuhusu uhai wa raia
Vaa viatu vya kijana anayekufa akiwa na miaka 25 au 28 bila hata kufanya chochote hapa duniani Tena kwa uzembe tu wa watu
Hivi gorofa la 20×20 linafukuliwa kwa zaidi ya masaa 24 na bado linafukuliwa ?
Waziri mkuu hii ni Mara ya ngapi unazengua ?
Waziri mkuu must go pia na Rais lazima aondoke 2025
Hatuwezi kuendelea kuwa na watu ambao hawajui kesho itakuwaje hawana plan zozote za maisha ya watu wao
Ukweli majanga ya Tanzania ni madogo Sana Sana je tungekuwa Kama Japan Hali ingekuwaje?
Kwa Waziri Mkuu ndio ameangusha ghorofa? Wizara ya Ujenzi na CRB hawawezi kukwepa lawama.Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa
Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana
Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha
Unakufa ukiwa unaona inauma Sana
Bora wanaougua tunawauguza na wanakufa
Toka aondoke baba wa Taifa nchi hii haijawai kuwa serious kwenye majanga na vita
Nyerere alituvusha Vita ya kagera na janga la njaa Kali kuwai kutokea
Unajiuliza je kwa sasa nchi ikivamiwa itakuwaje? Uliona tu kashikashi za Mtwara watu walivyokufa!!
Mabomu ya Mbagala, mabomu ya Gongo la mboto watu walivyokufa kama inzi.
Tetemeko la ardhi bukoba, kuanguka kwa ndege bukoba watu walivyokufa kizembe.
Sasa ni mwendelezo huo huo hakuna utawala unajali kuhusu uhai wa raia
Vaa viatu vya kijana anayekufa akiwa na miaka 25 au 28 bila hata kufanya chochote hapa duniani Tena kwa uzembe tu wa watu
Hivi gorofa la 20×20 linafukuliwa kwa zaidi ya masaa 24 na bado linafukuliwa ?
Waziri mkuu hii ni Mara ya ngapi unazengua ?
Waziri mkuu must go pia na Rais lazima aondoke 2025
Hatuwezi kuendelea kuwa na watu ambao hawajui kesho itakuwaje hawana plan zozote za maisha ya watu wao
Ukweli majanga ya Tanzania ni madogo Sana Sana je tungekuwa Kama Japan Hali ingekuwaje?
Mwinyi alivunja mara mbili hio mara ya kwanza according to JK waliitwa akawaambia asante kwa kufanya kazi na nyie naomba mkaandike barua za kujiuzulu akaondoka akawaacha walivyofika huko walipokuwepo ukaja ujumbe wala msiandike barua mmefukuzwa..., na mara ya pili alivunja tena Baraza...Kwanza kabisa baraza Tanzania Limewahi Kuvunjwa Mara Mbili tu kama Sijakosea Sana..
Mwaka 1990...
Lilivunjwa kwa Tuhuma Za rushwa na Ufisadi..
Na Waziri Mkuu Joseph sinde warioba akaenda Out ma Rasmi akaingia John malecela kama waziri Mkuu..
Kwahio hapo ni kama umejipinga umesema ni vigumu kuvunja Baraza wakati JK alivunja na issue ilikuwa hio hio Ufisadi na Lowasa had to go....Mwaka 2008..
Lilivunjwa Kwa tuhuma Za Rushwa na Ufisadi...
Na waziri Mkuu E.N.Lowasa akaenda Out na Rasmi Mizengo Pinda akaingia Madarakani.......
Na ndio nimekuonyesha kwamba Kujiuzulu kwa Ndugai ni uzalendo au aliona ni vigumu kupambana na watu walioshika makali ? Ofcourse alichofanya alikuwa hana kosa ila alianza kupigwa zengwe na Chawa na kwa madudu aliyokwishafanya usingeshangaa anaanzishiwa kesi za ufisadi na mwisho wa siku kupoteza vyote...., Hivyo now amefunika Kombe he might be better of than otherwise (na sio kwa mapenzi ya nchi bali necessity)Kuna Vitu Vinginr unachanganya Sana Ndugu mdau...
Unapozungumzia Spika Ni vigumu Sana kwa Spika Kufukuzwa aliamua Kujiuzuru ili Kukisafisha Chama Chake na Si Vinginevyo...
Kumbuka Bunge ni Muhimili mwimgine kabisana wala hauingiliwi kimaamuzi na Muhimili mwingine ...
So kama Spika Angekataa Kujiuzuru Bado angeendelea Kuwa Spika na wala hakuna Kitu wangemfanya..
Ni tofauti na Waziri ambaye yey yuko chini ya Muhimili wa Serkali kuu
Lowassa alikuwa na tabia ya Kizungu...lakini eti Mtu mweusi Mwafrika ajiuzulu kwenye nafasi nyeti kwasababu ya kizalendo tu, SAHAUAliyeweza Kujiuzuru Ni Nyerere (Ili achukue Nafasi ya Urais wa Tanganyika)..
Na LOWASA (kwa Ajili ya Uzalendo)
Upo sahihi kabisaJanga limetokea, wananchi wamefanya kwa ukubwa kuokoa, hiyo kamati ya majanga wanakula hela za bure, waajiriwe kina Omary waliookoa watu bila kuchoka. Tukimaliza manusura wa ajali, tumgeukie mwenye ghorofa. Ana kesi ya kujibu kuua, kuharibu mali za watu. Unachimbaje chini ya ghorofa na watu wanaendelea na biashara? Aliona hasara kulivunja, sasa hiki ni nini? Asiachwe, angekuwa China muda huu kishanyongwa.
Alimaanisha toshekeni na mishahara yenu. Ndiyo masna ya kamba. Shida elimu zenu ndo tatizoUzalendo inchi ni zero kabisa, chukulia Rais wa nchi anasema kuleni kulingana na UREFU wa kamba zenu ? Kuna viongozi hapo?
Laana itumeni kwa secretary!Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa
Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana
Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha
Unakufa ukiwa unaona inauma Sana
Bora wanaougua tunawauguza na wanakufa
Toka aondoke baba wa Taifa nchi hii haijawai kuwa serious kwenye majanga na vita
Nyerere alituvusha Vita ya kagera na janga la njaa Kali kuwai kutokea
Unajiuliza je kwa sasa nchi ikivamiwa itakuwaje? Uliona tu kashikashi za Mtwara watu walivyokufa!!
Mabomu ya Mbagala, mabomu ya Gongo la mboto watu walivyokufa kama inzi.
Tetemeko la ardhi bukoba, kuanguka kwa ndege bukoba watu walivyokufa kizembe.
Sasa ni mwendelezo huo huo hakuna utawala unajali kuhusu uhai wa raia
Vaa viatu vya kijana anayekufa akiwa na miaka 25 au 28 bila hata kufanya chochote hapa duniani Tena kwa uzembe tu wa watu
Hivi gorofa la 20×20 linafukuliwa kwa zaidi ya masaa 24 na bado linafukuliwa ?
Waziri mkuu hii ni Mara ya ngapi unazengua ?
Waziri mkuu must go pia na Rais lazima aondoke 2025
Hatuwezi kuendelea kuwa na watu ambao hawajui kesho itakuwaje hawana plan zozote za maisha ya watu wao
Ukweli majanga ya Tanzania ni madogo Sana Sana je tungekuwa Kama Japan Hali ingekuwaje?
🤧🚮Waziri Mkuu must go ili Mdude ndio awe Waziri Mkuu?
Wewe umejuaje kuwa ulimaanisha hivyo?Alimaanisha toshekeni na mishahara yenu. Ndiyo masna ya kamba. Shida elimu zenu ndo tatizo
Understanding capacity.Wewe umejuaje kuwa ulimaanisha hivyo?
Na huu ndo ukweli...📌🔨Kama kujiuzulu ianze nafasi namba moja kushuka chini. Wote wanawajibika kwa hili, watuambie bajeti ya majanga iko wapi wanayoipitisha kila mwaka wa bajeti. Kusema PM pekee hapana, ni serikali nzima hakuna kinachofanyika. Mgao wa umeme ushapiga hodi, maji ya bomba kuna watu wanayapata baada ya miezi 6.
Janga limetokea, wananchi wamefanya kwa ukubwa kuokoa, hiyo kamati ya majanga wanakula hela za bure, waajiriwe kina Omary waliookoa watu bila kuchoka. Tukimaliza manusura wa ajali, tumgeukie mwenye ghorofa. Ana kesi ya kujibu kuua, kuharibu mali za watu. Unachimbaje chini ya ghorofa na watu wanaendelea na biashara? Aliona hasara kulivunja, sasa hiki ni nini? Asiachwe, angekuwa China muda huu kishanyongwa.