Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kujiuzulu, kitengo cha majanga kimemshinda

Kwanza kabisa baraza Tanzania Limewahi Kuvunjwa Mara Mbili tu kama Sijakosea Sana..

Mwaka 1990...
Lilivunjwa kwa Tuhuma Za rushwa na Ufisadi..
Na Waziri Mkuu Joseph sinde warioba akaenda Out ma Rasmi akaingia John malecela kama waziri Mkuu..

Mwaka 2008..
Lilivunjwa Kwa tuhuma Za Rushwa na Ufisadi...
Na waziri Mkuu E.N.Lowasa akaenda Out na Rasmi Mizengo Pinda akaingia Madarakani.......

Kuna Vitu Vinginr unachanganya Sana Ndugu mdau...
Unapozungumzia Spika Ni vigumu Sana kwa Spika Kufukuzwa aliamua Kujiuzuru ili Kukisafisha Chama Chake na Si Vinginevyo...

Kumbuka Bunge ni Muhimili mwimgine kabisana wala hauingiliwi kimaamuzi na Muhimili mwingine ...

So kama Spika Angekataa Kujiuzuru Bado angeendelea Kuwa Spika na wala hakuna Kitu wangemfanya..

Ni tofauti na Waziri ambaye yey yuko chini ya Muhimili wa Serkali kuu
 
Weee Acha mambo yako nani ajiudhuru , eee mimi Ka telefoni mimi, thubutuuu
 
Waziri Mkuu must go ili Mdude ndio awe Waziri Mkuu?
 
Inge kuwa ni wizi wa kura na kuteka watu, saa hizi Ccm wanesha maliza mchezo. Kwa haya mengine tumuombe Mungu awe upande wetu.
Tumeona hata vifaa vinavyo tumika kuanzia greda, ambulace hata nguvu kazi, asilimia kubwa ni vya watu binafsi. Ati tuna kitengo cha maafa
 
Kwa Waziri Mkuu ndio ameangusha ghorofa? Wizara ya Ujenzi na CRB hawawezi kukwepa lawama.
 
Kwanza kabisa baraza Tanzania Limewahi Kuvunjwa Mara Mbili tu kama Sijakosea Sana..

Mwaka 1990...
Lilivunjwa kwa Tuhuma Za rushwa na Ufisadi..
Na Waziri Mkuu Joseph sinde warioba akaenda Out ma Rasmi akaingia John malecela kama waziri Mkuu..
Mwinyi alivunja mara mbili hio mara ya kwanza according to JK waliitwa akawaambia asante kwa kufanya kazi na nyie naomba mkaandike barua za kujiuzulu akaondoka akawaacha walivyofika huko walipokuwepo ukaja ujumbe wala msiandike barua mmefukuzwa..., na mara ya pili alivunja tena Baraza...
Mwaka 2008..
Lilivunjwa Kwa tuhuma Za Rushwa na Ufisadi...
Na waziri Mkuu E.N.Lowasa akaenda Out na Rasmi Mizengo Pinda akaingia Madarakani.......
Kwahio hapo ni kama umejipinga umesema ni vigumu kuvunja Baraza wakati JK alivunja na issue ilikuwa hio hio Ufisadi na Lowasa had to go....
Na ndio nimekuonyesha kwamba Kujiuzulu kwa Ndugai ni uzalendo au aliona ni vigumu kupambana na watu walioshika makali ? Ofcourse alichofanya alikuwa hana kosa ila alianza kupigwa zengwe na Chawa na kwa madudu aliyokwishafanya usingeshangaa anaanzishiwa kesi za ufisadi na mwisho wa siku kupoteza vyote...., Hivyo now amefunika Kombe he might be better of than otherwise (na sio kwa mapenzi ya nchi bali necessity)
 
Upo sahihi kabisa
Hao wanaojiita wa uokoaji hakuna kitu, hivi sasa huko Morogoro kuna mtu amezama bwawani eneo la Tungi darajani tangu jana lakini waokoaji wanatapatapa hawawezi chochote, walizoea kuwatumia vijana wa mtaani mwisho wa siku hawawalipi hata senti, leo wamegoma maiti bado ipo majini na vyombo vya habari vimepigwa stop kuripti tukio
 
Uzalendo inchi ni zero kabisa, chukulia Rais wa nchi anasema kuleni kulingana na UREFU wa kamba zenu ? Kuna viongozi hapo?
Alimaanisha toshekeni na mishahara yenu. Ndiyo masna ya kamba. Shida elimu zenu ndo tatizo
 
Laana itumeni kwa secretary!
 
Na huu ndo ukweli...📌🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…