Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani

Huyu Mkuu wa Mkoa si ndiyo yule aliyekuwepo Dar es Salaam kipindi cha mgomo wa wafanyabiashara?
Midimay
Yeah. Hataki ukuu wa mkoa. Anataka cheo kikubwa kuliko ukuu wa mkoa, kwenye chama au ndani ya serikali.
 
Vyovyote vile lakini kauli ya PM inamuweka pabaya sana ,kitendo Cha PM kutoa maelekezo Kwa RAS ambaye ni msaidizi wa RC kufanya kile alichozuia bosi wake ni jambo dogo?

Ni kama Leo Rais ampe Waziri mamlaka ya kutenda kinyume na agizo la Waziri mkuu hapo inaonesha waziri mkuu kuna kitu kakosea pakubwa sana
Yaani hapo wakikaa vibaya RAS na RC watanuniana au kugombana..

Dah! Makala ndo basi tena! Bora arudi zake paleee...pahala pa kipapah
 
Ameagiza ujenzi wa ghorofa uliositishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Amos Makalla uendelee kwenye viwanja namba 194 & 195 kitalu ‘U’ Rwagasore, jijini Mwanza na wamiliki wa viwanja hivyo wakabidhiwe hati zao kama alivyokuwa ameelekeza awali.
Ghorofa litamilikiwa na nani kama wamiliki wa viwanja ni wengine
 
Yaani hapo wakikaa vibaya RAS na RC watanuniana au kugombana..

Dah! Makala ndo basi tena! Bora arudi zake paleee...pahala pa kipapah
Hapa sijaelewa kwa nani kati ya kala bila kunawa
 
Hapa sijaelewa kwa nani kati ya kala bila kunawa
Hakuna kitu kibaya sana katika kazi Boss wenu amuagize mtu wa chini yako kuchukua hatua dhidi ya maamuzi uliofanya wewe!

Inaleta psyptomatic disease
 
Huyu Amos Makalla alishafukuzwa kazi ya kuwa RC na Magufuli lakini Kikwete akamshinikiza Samia amrudishe kulinda maslahi yake baada ya kifo cha Jiwe!! Hafai.
Makala hajawahi kuwa na akili, sijui ana mzizi gani unaompa nafasi za uongozi
 
Kiongozi Mkubwa kama PM hufanya maamuzi kwa kutegemea taarifa za kijasusi, kipelelezi na za kiutawala alizopewa na wasaidizi wake. PM hakurupuki from nowhere na kufanya maamuzi.
Kosa kubwa. Sahihi angefanya maamuzi kulingana na katiba na sheria zetu!
 
Ghorofa la Royal family,Rz moko,walinunua hivyo wiwanja B2 ndo course ya mabula kuondoka. Telefone lazima asimamie maslahi ya remote
 
Vyovyote vile lakini kauli ya PM inamuweka pabaya sana ,kitendo Cha PM kutoa maelekezo Kwa RAS ambaye ni msaidizi wa RC kufanya kile alichozuia bosi wake ni jambo dogo?
Skosa
Ni kama Leo Rais ampe Waziri mamlaka ya kutenda kinyume na agizo la Waziri mkuu hapo inaonesha waziri mkuu kuna kitu kakosea pakubwa sana
Watumishi wako na RAS si RC
 
Watumishi wako na RAS si RC
RC alipotoa maagizo ya kusimamisha ujenzi ,hayo maagizo aliyatoa Kwa nani? Kwa nini PM hakumpa maagizo RC na akampa RAS wakati alikuwepo ?

Hapo inaonesha RC hafuati maelekezo ndio maana akamwagiza RAS , hahiitaji akili kubwa sana kujua Hilo. ukiona bosi wako katoa agizo Kwa walio chini yako na wakati wewe upo na una uwezo wa kufanya basi fahamu wewe ni mzigo
 
Back
Top Bottom