Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwanzaAmos Makalla ajitafakari sana maana inaonesha Kuna kitu hakipo sawa upande wake
ndo maana kasema warudishiwe hati zao za hvo viwanja, hujaelewa nn sasa?Shida huyu hatakuwa waziri mkuu wa milele , akitoka haki za huyo mtu zitakuaje, inabidi haki itendeke na c matamko
Huna unachojua wewe MteteaWaziri Mkuu kakosea
Hapana siyo yeyeHuyu Mkuu wa Mkoa si ndiyo yule aliyekuwepo Dar es Salaam kipindi cha mgomo wa wafanyabiashara?
Midimay
Yaani hapo wakikaa vibaya RAS na RC watanuniana au kugombana..Vyovyote vile lakini kauli ya PM inamuweka pabaya sana ,kitendo Cha PM kutoa maelekezo Kwa RAS ambaye ni msaidizi wa RC kufanya kile alichozuia bosi wake ni jambo dogo?
Ni kama Leo Rais ampe Waziri mamlaka ya kutenda kinyume na agizo la Waziri mkuu hapo inaonesha waziri mkuu kuna kitu kakosea pakubwa sana
Ghorofa litamilikiwa na nani kama wamiliki wa viwanja ni wengineAmeagiza ujenzi wa ghorofa uliositishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Amos Makalla uendelee kwenye viwanja namba 194 & 195 kitalu ‘U’ Rwagasore, jijini Mwanza na wamiliki wa viwanja hivyo wakabidhiwe hati zao kama alivyokuwa ameelekeza awali.
Hapa sijaelewa kwa nani kati ya kala bila kunawaYaani hapo wakikaa vibaya RAS na RC watanuniana au kugombana..
Dah! Makala ndo basi tena! Bora arudi zake paleee...pahala pa kipapah
Hakuna kitu kibaya sana katika kazi Boss wenu amuagize mtu wa chini yako kuchukua hatua dhidi ya maamuzi uliofanya wewe!Hapa sijaelewa kwa nani kati ya kala bila kunawa
Makala hajawahi kuwa na akili, sijui ana mzizi gani unaompa nafasi za uongoziHuyu Amos Makalla alishafukuzwa kazi ya kuwa RC na Magufuli lakini Kikwete akamshinikiza Samia amrudishe kulinda maslahi yake baada ya kifo cha Jiwe!! Hafai.
Kosa kubwa. Sahihi angefanya maamuzi kulingana na katiba na sheria zetu!Kiongozi Mkubwa kama PM hufanya maamuzi kwa kutegemea taarifa za kijasusi, kipelelezi na za kiutawala alizopewa na wasaidizi wake. PM hakurupuki from nowhere na kufanya maamuzi.
FafanuaWaziri Mkuu kakosea
Watumishi wako na RAS si RCVyovyote vile lakini kauli ya PM inamuweka pabaya sana ,kitendo Cha PM kutoa maelekezo Kwa RAS ambaye ni msaidizi wa RC kufanya kile alichozuia bosi wake ni jambo dogo?
Skosa
Ni kama Leo Rais ampe Waziri mamlaka ya kutenda kinyume na agizo la Waziri mkuu hapo inaonesha waziri mkuu kuna kitu kakosea pakubwa sana
SIYO kweli!Yeah. Hataki ukuu wa mkoa. Anataka cheo kikubwa kuliko ukuu wa mkoa, kwenye chama au ndani ya serikali.
RC alipotoa maagizo ya kusimamisha ujenzi ,hayo maagizo aliyatoa Kwa nani? Kwa nini PM hakumpa maagizo RC na akampa RAS wakati alikuwepo ?Watumishi wako na RAS si RC