Sasa hicho kiporo si cha Magu mkuu... Bado mna hangover tuhh...Kazi kazi.
mapigaji yanataka kurudi.
safi sana waziri mkuu
Aliyewabatiza Chadema nyumbu aliona mbali ni mijitu mijinga isiyojitambua kabisaNilikuwa siamini kwamba kwenye kila analogusa Magufuli huwa ana haribu Ila kwenye Mwendokasi ndo sehemu niliyokuja kuamini kwa Mara ya kwanza!
Kwanza inabidi wote tujiulize mwendokasi ilianzia wapi?
Mradi wa mabasi ya mwendokasi ukianzishwa na kuasisiwa na Rais wa Awamu ya nne. Kwa Jinsi mradi ulivyokuwa umeandaliwa ulitakiwa kusimamiwa na kampuni binafsi na tangu mwanzo ulisimamiwa kwenye mfumo huo. Mradi huu ulikuwa chini ya Kampuni na Kisena na wakati unaanza kila kitu kilikuwa kinaendeshwa katika dunia ya kisasa. Ticket zilikatwa kielectronic na watu waliweka hadi kuwa na kadi ya kutumia mwezi mzima.
Alipokuja Magufuli kwanza alianza ku deal na kisena kwa sababu kisena hakuwa kwenye kundi la watu waliomuunga mkono kwenye uchaguzi wa mwaka 2015. Alimtesa kisena kwa kumnyang’anya mradi na hatimaye akaondoa utaratibu wote mzuri uliokuwa umewekwa kwa ajiri ya kuendesha mradi.
Matokeo yake akawapa wanajeshi, na hapo ndo Tatizo lilipoanza. Mradi ulianza kuendeshwa kwa tabia za kiswahili na watu wakaanza kukata ticket kama daladala.
Mradi huu hadi kufikia sasa ulitakiwa uwe umeshaanza kujiendesha kwa faida Ila kwa roho mbaya ya magufuli na tabia zake za kuchukia matajiri ndo amefanya mradi ule uwe kituko na usifike popote.
Polee kisena. Buriani Mwendokasi.
Aliyewabatiza Chadema nyumbu aliona mbali ni mijitu mijinga isiyojitambua kabisa
Hoja imekugusa sasa unatapatapa!Aliyewabatiza Chadema nyumbu aliona mbali ni mijitu mijinga isiyojitambua kabisa
Kweli kabisa tunaposema lazima tumsupport mama chato gang wasimuaribie tunamaanisha Kweli.Mama amesema yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
Ila ataendeleza yale mema.
Tutegemee mwendo kasi kufufuka.
Na wewe unarudia makosa yale yale, Chato kuna mwendokasi? Makosa hayasahihishi kwa makosa.Labda useme! Ni wapi kwenye mada hii kuna neno Chadema???
Bangi ya chato imekolea kichwani nini?
Akikusikia Halima Mdee atakucheka sana bwashee!Magu alikuwa ni failure kwenye mambo mengi.
Hamna tapeli mkubwa kama huyo kisena,shukran kubwa ujio wa magu bila hivyo tungepanda hizo bus kwa elfu 2,huyo kisena fisadi aliuua gari za kwenda ferry akawa anaenda peke yake na route yake ilikua inaanzia mnazi mmoja,ingekua china kisena ashanyongwa kitambo tuNilikuwa siamini kwamba kwenye kila analogusa Magufuli huwa ana haribu Ila kwenye Mwendokasi ndo sehemu niliyokuja kuamini kwa Mara ya kwanza!
Kwanza inabidi wote tujiulize mwendokasi ilianzia wapi?
Mradi wa mabasi ya mwendokasi ukianzishwa na kuasisiwa na Rais wa Awamu ya nne. Kwa Jinsi mradi ulivyokuwa umeandaliwa ulitakiwa kusimamiwa na kampuni binafsi na tangu mwanzo ulisimamiwa kwenye mfumo huo. Mradi huu ulikuwa chini ya Kampuni na Kisena na wakati unaanza kila kitu kilikuwa kinaendeshwa katika dunia ya kisasa. Ticket zilikatwa kielectronic na watu waliweka hadi kuwa na kadi ya kutumia mwezi mzima.
Alipokuja Magufuli kwanza alianza ku deal na kisena kwa sababu kisena hakuwa kwenye kundi la watu waliomuunga mkono kwenye uchaguzi wa mwaka 2015. Alimtesa kisena kumpa kesi za uhujumu uchumi na mkewe na baadae kumnyang’anya mradi na hatimaye akaondoa utaratibu wote mzuri uliokuwa umewekwa kwa ajiri ya kuendesha mradi.
Matokeo yake akawapa wanajeshi, na hapo ndo Tatizo lilipoanza. Mradi ulianza kuendeshwa kwa tabia za kiswahili na watu wakaanza kukata ticket kama daladala.
Mradi huu hadi kufikia sasa ulitakiwa uwe umeshaanza kujiendesha kwa faida Ila kwa roho mbaya ya magufuli na tabia zake za kuchukia matajiri ndo amefanya mradi ule uwe kituko na usifike popote.
Polee kisena. Buriani Mwendokasi.
Mradi huo hapo awali kabla ya uliyemtaja hapo, ulikuwa ni Mradi wa serikali Jina tu,
Tanzania nchi ngumu hii
Kisena alikuwa kwenye mradi kifisadi. Hivyo ilikuwa sawa kumuondoa. Labda tuseme hakutafuta solution nzuri.Nilikuwa siamini kwamba kwenye kila analogusa Magufuli huwa ana haribu Ila kwenye Mwendokasi ndo sehemu niliyokuja kuamini kwa Mara ya kwanza!
Kwanza inabidi wote tujiulize mwendokasi ilianzia wapi?
Mradi wa mabasi ya mwendokasi ukianzishwa na kuasisiwa na Rais wa Awamu ya nne. Kwa Jinsi mradi ulivyokuwa umeandaliwa ulitakiwa kusimamiwa na kampuni binafsi na tangu mwanzo ulisimamiwa kwenye mfumo huo. Mradi huu ulikuwa chini ya Kampuni na Kisena na wakati unaanza kila kitu kilikuwa kinaendeshwa katika dunia ya kisasa. Ticket zilikatwa kielectronic na watu waliweka hadi kuwa na kadi ya kutumia mwezi mzima.
Alipokuja Magufuli kwanza alianza ku deal na kisena kwa sababu kisena hakuwa kwenye kundi la watu waliomuunga mkono kwenye uchaguzi wa mwaka 2015. Alimtesa kisena kumpa kesi za uhujumu uchumi na mkewe na baadae kumnyang’anya mradi na hatimaye akaondoa utaratibu wote mzuri uliokuwa umewekwa kwa ajiri ya kuendesha mradi.
Matokeo yake akawapa wanajeshi, na hapo ndo Tatizo lilipoanza. Mradi ulianza kuendeshwa kwa tabia za kiswahili na watu wakaanza kukata ticket kama daladala.
Mradi huu hadi kufikia sasa ulitakiwa uwe umeshaanza kujiendesha kwa faida Ila kwa roho mbaya ya magufuli na tabia zake za kuchukia matajiri ndo amefanya mradi ule uwe kituko na usifike popote.
Polee kisena. Buriani Mwendokasi.
Hiyo alienda kuangalia kama inataka kuwaka.[emoji23]
Ila kumuondoa huyo Kisena ilikuwa sahihi kabisa. Kwanza sehemu yake ni jela.Hoja imekugusa sasa unatapatapa!