Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Enzi za mkwere kisena alikua anajichagulia route na nauli alikua anapanga mwenyewe,jamaa na washirika wake wanastahili kuwa jela kwa sasa
Kwa nini mradi ulianzishwa kwa complications namna hii? Huu mradi aliyeuanzisha ndiye mwenye makosa. Wengi tulisema hapa kuwa wana-complicate mambo kwa sababu tu ya ufisadi. Nadhani ni enzi za mkwere hizo.