Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Nini kigumu cha kishindwa kuelewa?Umemuelewa?
Kasema tatizo la UDART ni uuzaji wa tiketi kama wa daladala.
Ambao ni uongo.
UDART haijawahi kutumia makonda wa kuuza tiketi kama madaladala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kigumu cha kishindwa kuelewa?Umemuelewa?
Ww Una Shida na Magufuli, mada Ni udhaifu Wa Management ya udart Ila Ww umekomaa na Magufuli Tu. Upuuzi HuuAcha kuzunguka mbuyu. Aliyeua mradi ni Magufuli kwa kuleta ujuaji wake na ugomvi wake na Kisena!
Unamaanisha mabasi yameharibika baada ya JPM kufa?Acha hizo mpigaji hutakiwi kunegotiate naye, Kama ana majibu sahihi ya maswali anayoulizwa hawezi kuaibika. Kama Kuna upigaji wanafanya acha waaibike hadharani mbele ya wananchi.
Haya mambo ya kuoneana aibu yalitutesa Sana awamu ya JK, sasa JPM ameondoka wapigaji wanadhani watapata nafuu kumbe Moto ni uleule.
Ni CCM katika ubora wao wa kulinda LEGACY!Hivi huu ujuha wa kuvamiana na macamera bado upo awamu hii?
Hawana mipangilio madhubuti ya uwendeshaji sana sana ni siasa tu.Hata SGR, kama inakamilika, yatakuwa ni haya haya tu.
Uwanja wa mkapa wenyewe mashine kitambo hazisomi!ticket ni mwendo wa manual tu.Hii miradi wanaiua wenyewe.
kule vivukoni ukiwa mtu wa kitengo unavuka free hulipi hata sent moja.
risiti zinakatwa lakini mashine hazisomi.
mm walipowatoa tu wale maxmalipo nikajua apa tayari tumeinamishwa.
cio bure lzm kuna wanaofaidika na upuuz huu.
Mwekezaji feki ni nani hapo?Yaani Waziri Mkuu naona hata yeye bado hajui tatizo la Mwendokasi hadi leo hii? Sbb anaenda DART as if yeye ni new comer ktk serikali, DART matatizo yake ni uongozi mbovu na serikali imekaa tu kimya, dawa ni kutimua mwekezaji feki, serikali isimamie kwa 100%
Iringa aliagiza Manispaa kuvunja kiholela mkataba na muwekezaji sasa hivi wanadaiwa mamilioni mahakamani.Tatizo la huyu anakopitaga huwa hamna impact yoyote. Kama kiki tu.
Namshangaa waziri mkuu na serikali yake kufanya mambo kama hawamjui Robert Kisena & Co? kuna jamaa yangu walimuajiri pale lakini tatizo lake alikuwa anafanya kazi kama yeye ni mzungu fulani hakuchukua hata miezi mitatu walimfukuza.Kama mtoa huduma bado ni samson group mjue hatuendi popote. Hao watapeli hawawezi kuaminika kutoa huduma nzuri. Kwanza sifa ya mwekezaji hawana wanategemea waibie serikali kwaza ndio wawekeze.
Lengo lao kuu ni kupata mali kwa kuiba mali ya umma kujitajirisha. Uwekezaji ni kuleta mtaji na ujuzi sio ubabaishaji mtu huna kitu.
Bila kusahau maneno kuntu ya Mhesh Polepole. Ukitaka konection pitia kwake.Miaka 2 iliyopita tangu huo mfuko wa ukataji tiketi ulipokufa rais alikua nani?