Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79

Mbonamimi nawakilisha tanzania usa tangu 2006 na sirudi Bongo
 
Angeeda nako mngesema amelimbi soo lake ,yuko hapa kupambana na magaidi wa nchi ,sio mara ya kwanza kiongozi yeyote kumuwakilisha Mh Rais Samia ,acha ujinga dogo

USSR
 
Heko PM, Kufa kufaana. Yeye angepata lini hiyo Trip baba wa watu mstaarabu asiye na makuu.
 
Angeeda nako mngesema amelimbi soo lake ,yuko hapa kupambana na magaidi wa nchi ,sio mara ya kwanza kiongozi yeyote kumuwakilisha Mh Rais Samia ,acha ujinga dogo

USSR
Kama ilikuwa imepangwa hivyo tangia awali pale mwaliko ulipokuja well and good. Ila isijekuwa imebadirika dakika za mwisho due to the recently witnessed exchanges of words with the World Powers . Ukizengua wanakuzengua .
 
Mbona alishamtuma mara nyingi hata safari iliyopita pia Makamo alienda mpaka mkaanza kumtangaza kuwa amefariki?
 
haitobadili chochote,tushamuweka question mark??
It's a matter of time.
Kujenga haiba na taswira kunachakua muda , ila kuvibomoa ni matter of seconds. Nani alisema eti Ulimi uliponza Kichwa, au Kichwa ndicho kiliponza ulimi. Nadhani the last is correct . Maana ulimi unapokea maelekezo tu toka juu na kuyawasilisha bila ya kuongezea kitu kama yalivyotoka huko kwenye disk .
 
Ile speech alianda mbali sana , walioandaa ile , walitakiwa wawe wamefukuzwa
 
Kama ilikuwa imepangwa hivyo tangia awali pale mwaliko ulipokuja well and good. Ila isijekuwa imebadirika dakika za mwisho due to the recently witnessed exchanges of words with the World Powers . Ukizengua wanakuzengua .
Kikao cha unga bado sana kuisha na bado kinaendelea

USSR
 
nyumba ya vioo karibia vitapasuka inasikitisha sana maana vitamkatakata na ndo itakuwa mwisho wake, rejea jiwe.
 
QUOTE="DR HAYA LAND, post: 51460673, member: 469833"]
Na mjumbe hauwawi
[/QUOTE]
Una akili sana siku moja tukanywe kahawa EpiDor Masaki 🤣🤣🤣
 
Duuh yaani wabongo bhana,akienda mara kwanini asimtume mtu mwingine.Ebu kueni serious kidogo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…