Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

Basi alitumia Mwaka wa Kanisa unaoanza Advent 1 (Jumapili ya kwanza katika Adventi au Majalio)? Hakika si mwaka wa Kiislamu, maana hapo tuko kwenye mwezi wa Jumada ya Pili ambayo ni mwezi wa sita.
 
Kama Ni kuteleza kwa ulimi,ilitakiwa kuomba radhi na kusahihisha kauli yake.kutofanya hivyo,siyo sahihi
 
Umenikumbusha
Ustaadh fylani mpenda ubwabwa na laini za mtandao wa tiGO aliyesema mwendakuzimu Ni zaidi ya mtume Sasa sijui alimaanisha mtume yupi.
Mtume ni mtu yeyote tu anayetumika. Watume wa Mungu wanatumwa na Mungu. Mbunge au Rais anatumwa na wananchi. Ni mtume wa Watanzania
 
Alikuwa anawatonya LUKUVI na KABUDi kuwa za mwizi arobaini kwani nilikuwa nasingiziwa sana kuwa na Mimi ni 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…