Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
Mbona speech yale ina kila la khere nyingi... af mbona anazungumzia swala la kutuombea... aisee kuna kitu hapa chini ya kapeti
 
Duh..

Ofisi ya Makamu wa Rais
Alipaswa kuwa Dubai kwenye Mkutano.....
.....dot.....dot....biashara ya Carbon.......dot....
 
Ukiumwa koo kutoboa huwa ni kazi sana
Waliokuwa wanamuombea mabaya yamewashuka sasa.
Mhe yupo vizuri na,Afya njema, na tumesali nae leo misa ya pili Dodoma.. binadamu si MUNGU, ila tunachjua ni kupenda kuwatakia wenzetu mabaya yawakute. MUNGU aendelee kukupa maisha marefu kiongozi wetu. Waliokutakia mabaya wasamehe bure tu. MUNGU akakutane nao mwenyewe.
 
Back
Top Bottom