Waliokuwa wanamuombea mabaya yamewashuka sasa.
Mhe yupo vizuri na,Afya njema, na tumesali nae leo misa ya pili Dodoma.. binadamu si MUNGU, ila tunachjua ni kupenda kuwatakia wenzetu mabaya yawakute. MUNGU aendelee kukupa maisha marefu kiongozi wetu. Waliokutakia mabaya wasamehe bure tu. MUNGU akakutane nao mwenyewe.