Majaliwa alisema Rais Magufuli ni mzima anachapa kazi.

Kilichofuata ni historia.
 
Hatujasahau alivyosema JPM yuko Ikulu anapiga kazi kama kawaida, kumbe jamaa yuko kwenye friji.

Heri mtu mwingine angetoa habari za uhakika, yuko wapi na anafanya nini kwa niaba ya Taifa.
 
Naam, hayo ndiyo majibu sahihi hata kama anaumwa na likitokea lolote PM hapaswi kulaumiwa maana hata angekuwa Mh. Rais anatamka juu ya hilo angetamka hivyo hivyo,na pia linapokuja suala la watanzania kujua kiongozi gani yupo wapi hata kwa mitandao ya kijamii basi kiongozi wa juu mwenye dhamana hapaswi kusubiri aulizwe moja kwa moja na wananchi katika ziara yake bali ni kutolea ufafanuzi tu. Viongozi wetu ni wasikivu wanazisikia sauti tuzipazazo wakati wowote na pahala popote haijalishi ni jf,fb,instagram or wherever.
 

Huyu PM naye boya Sana. Si akae kimya, eti yupo nje kimajukumu. Very stupid.
 
Huyu si ndio yule alituambia Chuma kipo kinapiga kazi ..kumbe kimeshapiga tuta .... Sio wa kumuamini huyu
 
Aseme yupo wapi asituchanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…