Kwa kupunguza matumizi,ofisi ya Makamu wa Rais haikwenda na Waandishi wa Habari serikali!![]()
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kupunguza matumizi,ofisi ya Makamu wa Rais haikwenda na Waandishi wa Habari serikali!![]()
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Huyu PM siyo mtu wa kumuamini sana sana alishawahi tuhakikishia hivyo hivyo wakati rais JPM amefariki.Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
ZAman wakat nasoma nlikua mkal hata waalim kuniambia nikate nywel nikiamini zitanipa maakili shuleni. nimekua mkubwa nimegundua kumbe kufuga nywele ni fasheni. Haina uhusiano na PM majaliwa mkuu 😂😂 usije kunipopoaKuumwa nalo ni jambo la kuficha? Huyu PM wenu nadhani mnamkumbuka Yale ya Mwendazake
Rejea kauli yake wakati wa mwendazakeKasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
majaliwa huwezi kuaminiwa tena.Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
Kama na huyu kaongea, basi tayari.Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.