Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Huyu dingi akianza hizi kauli watanzania tuombe Tu kwa kuvaa magunia maana uzoefu tunao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ofisi za Balozi, waTanzania wako huko nje Ina maana mnawafanya wote hawapo na hawajui uongo na ukweli!Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipokuwa Dodoma akiongea na wadau waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
Sijui lkn historia ya PM inamkana.Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipokuwa Dodoma akiongea na wadau waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
Tundu Lissu hajawahi kuingia katika baraza la Mawaziri (Cabinet) tangu azaliwe. Ni Mwanasiasa kama wengine mitaani.Majaliwa hana tofauti na Tundu Lissu katika huu muktadha.
Lissu aliwahi kumzushia kifo mlinzi wa Magufuli katika kituo cha habari cha kimataifa na hakuwahi kurekebisha uzushi wake!
Majaliwa hayuko peke yake kwenye kusema uongo hadharani.
Sielewi kwa nini Majaliwa anasakamwa sana peke yake kana kwamba hakuna wengine waliowahi kuongopa hadharani kuhusu afya au uhai wa wengine.
Why does Tundu Lissu get a pass?,
hv makamu hayupo nchini 10 dys?Huyu naye ataumbuka soon, kuna kiongozi ngazi ya juu anaweza kukaa nje ya nchi zaidi ya siku 10 kwa kazi za kitaifa.
Nakumbuka Kawawa alivyotoka St Thomas Hospital kumjulia hali baba wa Taifa, hakutakaga Unafiki!Kuumwa nalo ni jambo la kuficha? Huyu PM wenu nadhani mnamkumbuka Yale ya Mwendazake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majaliwa hata kwenye suala la Magufuli alitoka hadharani na kuanza kufoka,siku 3 mbele Taifa likaombeleza!!
Ikiwa anaweza kutumia gharama kubwa na muda kuficha mvi,sishangai kutoa tamko lisilo kweli!!
Thanks for this, maana Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!.Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipokuwa Dodoma akiongea na wadau waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
Lissu naye ni kiongozi mkubwa tu nchini ambaye watu wanamsikiliza.Tundu Lissu hajawahi kuingia katika baraza la Mawaziri (Cabinet) tangu azaliwe. Ni Mwanasiasa kama wengine mitaani.
Waziri mkuu ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, katiba inatamka wazi, Rais au Makamu wake ikiwa hawapo, kikao kitaendeshwa na Waziri Mkuu. Ni kiongozi wa Serikali Bungeni pia. Wadhifa , hadhi na majukumu yanawatenga wawili hao.
JPM yu mhututi au tayari ametuacha, Majaliwa ndani ya Msikiti ANASEMA 'Rais yu bukheri' anapitia mafaili. Majaliwa alitumia Uwaziri mkuu ndani ya nyumba ya Ibada kuaminisha watu uongo! wicked
Bila kuulizwa Majaliwa yule aliyeongopa anatuaminisha jambo katika mazingira yale yale akilaumu mitandao.
Mitandao ile iliyosema JPM anaumwa yeye akisema anachapa kazi, leo anataka tumu amini yeye kuliko.
Majaliwa ni morally corrupt , haaminiki na Umma. Ni PM akae kimya si kutufanya mazuzu kila mara akitaraji ' pass' . Hapana! Kwa haya ya leo aache tu , hatuhitaji update zake ! sisi si wajinga kama anavyodhani!
Weee mama tuliaSema ukiona huyu dingi katamka kitu kama hiki inabidi ukae tu kwa tahadhari maana baada ya hapo huwa zinakuja taarifa sio nzuri. Halafu kama VP yuko na majukumu si tungeona taarifa zake. Au VP hatembeagi na Camera man wala waandishi?