Wamarekani wana msemo mmoja.
"Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me".
Ukinidanganya mara moja, lawama na aibu ni kwako wewe uliyenidanganya. Lakini, ukinidanganya mara ya pili, lawama na aibu ni kwangu uliyenidanganya tena, kwa sababu sijachukua somo uliponidanganya mara ya kwanza ili usiweze kunidanganya tena.
Sasa hivi hata kama Majaliwa anasema kweli, si mtu sahihi wa kutoa taarifa hizi. Kwa sababu tumedhakuwa fooled once.
Waswahiki wanasemaje? Aliyeumwa na nyoka, akiona ujani, anashituka.