Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaNikikumbuka ya mwendazake napata wasiwasi mkubwa kuamini maneno ya Shujaa wa uokoaji
Alisemaje yeyeNakumbuka Kawawa alivyotoka St Thomas Hospital kumjulia hali baba wa Taifa, hakutakaga Unafiki!
KabisaNi kweli, kama kuja kuhani msiba angeanza na waliokufa kwenye ajali ya basi ya Allys, na mengine... Hiyo janja janja tu... Ila tunamwelewa kama mwenye nyumba Kuna mambo huwezi weka hadharani... Tuko pamoja na mama, Mungu ampe ujasiri maana Hali ya siasa ilivo ni kama inatishia marudio ya Jiwe... 😭😭
Watanganyika wakifuatilia mambo ya Marekani tunaambiwa si wazalendo, utakuwa vipi mzalendo wakati mambo ya kwetu hatuelezwi?Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipokuwa Dodoma akiongea na wadau waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
Kifo au msiba humfichua.Mficha maradhi....
Ila jamaa ana roho ngumu sana, yaani haoni aibu kusema yaleyale aliyosema kuhusu jiwe kuwa yuko anapiga kaziSawa. Ingawa imani kwa mwamba kidogo inatutoka kulingana na historia yake.
HATA JIWE MLISEMAGA HIVYO HIVYOKasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipokuwa Dodoma akiongea na wadau waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
Huyo jamaa Kama zombi vile. Hajielewi. Tanzania tuna mikosi na viongozi WA awamu hii.Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa nadhani GENTAMYCINE nilishakushauri hapa hapa JamiiForums kuwa kukiwa na Taharuki yoyote au Tukio lolote lile la Kihisia usipende kuwa na Kiherehere cha Kulisemea kwani Kirekodi una Gundu kwani kila ukijitokeza Kutetea Jambo fulani kwa dhana ya Kulificha huwa linakuumbua na hatimaye Kudharaulika, Kuchekwa na Kutoaminiwa tena.
Premier Kassim Majaliwa jana Umesikika na Kunukuliwa mahala ukisema kuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Isidori Mpango yuko mzima na nje ya nchi anafanya Shughuli zake za Kiutendaji na Kiuwajibikaji.
Premier Kassim Majaliwa Mimi GENTAMYCINE sina tatizo na hii Taarifa yako ila Kinachonishtua zaidi ni kwamba hata kwa Hayati Dk. Magufuli Uvumi wa Kifo chake ulipoanza na Kuenea kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania kama kawaida yako ya kuwa na Kiherehere ulijitokeza na Kutuambia kuwa yuko ni mzima wa Afya, ulizungumza nae, anakunywa Chai Ofisini huku akipitia Mafaili yake wakati kumbe tayari na zamani sana alishakuwa amelazwa katika Mochwari ya Hospitali mbili tofauti kabla ya kupelekwa katika Mochwari ya Wanamedani wa kati ya Kawe na Mwenge.
Binafsi sikuamini tena Premier KMK.
Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa nadhani GENTAMYCINE nilishakushauri hapa hapa JamiiForums kuwa kukiwa na Taharuki yoyote au Tukio lolote lile la Kihisia usipende kuwa na Kiherehere cha Kulisemea kwani Kirekodi una Gundu kwani kila ukijitokeza Kutetea Jambo fulani kwa dhana ya Kulificha huwa linakuumbua na hatimaye Kudharaulika, Kuchekwa na Kutoaminiwa tena.
Premier Kassim Majaliwa jana Umesikika na Kunukuliwa mahala ukisema kuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Isidori Mpango yuko mzima na nje ya nchi anafanya Shughuli zake za Kiutendaji na Kiuwajibikaji.
Premier Kassim Majaliwa Mimi GENTAMYCINE sina tatizo na hii Taarifa yako ila Kinachonishtua zaidi ni kwamba hata kwa Hayati Dk. Magufuli Uvumi wa Kifo chake ulipoanza na Kuenea kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania kama kawaida yako ya kuwa na Kiherehere ulijitokeza na Kutuambia kuwa yuko ni mzima wa Afya, ulizungumza nae, anakunywa Chai Ofisini huku akipitia Mafaili yake wakati kumbe tayari na zamani sana alishakuwa amelazwa katika Mochwari ya Hospitali mbili tofauti kabla ya kupelekwa katika Mochwari ya Wanamedani wa kati ya Kawe na Mwenge.
Binafsi sikuamini tena Premier KMK.
Si uwashe VPNNatamani kukomenti, Ila familia bado inanitegemea
Limeishajifia tayari, corona haikumuacha salama mwamba, kama hajafa,but "has one foot in grave*Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
Waziri Mkuu ameyasema hayo alipokuwa Dodoma akiongea na wadau waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".
Kwa hiyo mkuu unataka VP ajitamkie mwenyewe?Kwa nini asiseme mwenyewe