Kuna mzingira ya kufanya hivyo,ila mazingira ya sasa ndiyo yamelazimisha kinachofanyika sasa kifanyike,kwa kweli sitaweza kuvumilia kumuona Rais wetu akidhalikishwa kwa dhalili ya Heshima kama aliyofanyiwa waziri Mpango.
Sitakubali japo naweza nikawa kimya, sitamani kumwona rais magufuli akiwa mbele ya makamera huku anatetemeka na kushindwa kuongea vyema,wakiamua kumleta mbele ya kamera basi waje naye akiwa kama alivyoondoka,akiwa na afya kamili na si just uhai, mheshimiwa mpango alinifikirisha sana siku ile, alidhalilishwa kiheshima.