Hilo zee siku hizi limekuwa tahira kabisaUnajitoa ufahamu siyo? Rais ni mgonjwa. Ameponea chupuchupu. Japo yuko Dar lakini bado hali yake haijawa nzuri. Wanavuta muda ili akiwa vizuri ndiyo ajitokeze. Masuala ya kupelekwa Nairobi na India ilikuwa geresha ili story yote ya kusema Magufuli ni mgonjwa ionekane ni uzushi. Najua unajua lakini unajitoa ufahamu.
Kwani wewe hapo unafanya nini wewe zwizwi wa Ufipa!??? Tulia kama mate yamekuisha, sawa!??? Uongo wenu lazima sasa muumeze wenyewe.Unahangaika mno!
Hivi hata hujistukii kuwa unageuka kuwa zwazwa?
Tulia sasa, Waziri Mkuu shakuonyesha alipo Rais, nini kinakutia kiherehere mpaka usitulie?
Leo kwa mara ya kwanza nimeupenda mchango wako,jitahidi zaidi,you are on the right trackRaisi John Joseph Pombe Magufuli piga kazi kuwaletea na kuwajengea misingi imara ya kimaendeleo Watanzania nilichogundua Watanzania wanampenda sana raisi wao kiasi cha kutokumuona wala kumsikia ndani ya wiki kila mmoja amekuwa hana raha kwa kuwa wameshazoea kumsikia akiwapa maagizo wateule wake na kutatua kero za wananchi.
Kwa dalili hizi ni kipimo cha mapenzi kilichopitiliza najua wenye account fake wakiwa peke yao au kwenye vikao vyao wanazungumzia muziki mnene wa mtetezi wa wanyonge.
Tuendelee kumuombea kwa Mungu raisi wetu azidi kuwa na afya njema na amuepushe na wenye husuda na roho mbaya ili aweze kutekeleza yale yote aliyo ahidi kipindi cha kampeni kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Raisi wetu wananchi wamekumiss na wanakupenda sana muda utakaonekana ama hakika watashangilia kama kumefungwa goli uwanja wa taifa!
Hapa kazi tu, tusisahau kufuata muongozo wa wataalamu wa afya covid ipo!
Sasa ni kwanini Lissu aingizwe Choo cha kike na Makachero?Unajitoa ufahamu siyo? Rais ni mgonjwa. Ameponea chupuchupu. Japo yuko Dar lakini bado hali yake haijawa nzuri. Wanavuta muda ili akiwa vizuri ndiyo ajitokeze. Masuala ya kupelekwa Nairobi na India ilikuwa geresha ili story yote ya kusema Magufuli ni mgonjwa ionekane ni uzushi. Najua unajua lakini unajitoa ufahamu.
Anasalimu kutoka Ghambosh ama wapi?Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?".....
Wewe nawe na kiingereza chako cha kuunga unga. Unadhani ukiandika kiingereza ndiyo utaonekana una akili? Mbona Magufili hakijui na anatumia kiswahili tu?Watue wenye nia ovu, husuda, chuki binafsi, tamaa ya madaraka...
Tuambieni tena kwa vielelezo visivyoacha hata chembe ya mashaka huyu Rais wetu yuko salama au la? Hatuhitaji maneno matupu.Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Kwani ni lazima niwe 'ufipa' kutumia akili zangu.Kwani wewe hapo unafanya nini wewe zwizwi wa Ufipa!??? Tulia kama mate yamekuisha, sawa!??? Uongo wenu lazima sasa muumeze wenyewe.
Naweza kuamini hii kwa asilimia 56,hoja hii ipo juu ya hoja nyingine zoteRaisi yupo kwenye mfungo wa kwaresma pigeni ramli chonganishi mzee ni mzima wa afya!
Kweli Mheshimiwa amekamatika vilivyo msimu huu akitoka huenda akafika 2025.Safi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Nimesikia anasema anaendelea vinzuri, alikuwa anaumwa?
Ndiyo. Ametumika Lissu ili habari iaminiwe na watu wengi. Na hata Gazeti la Daily Nation limetumiwa ili kuipa habari ''credibility''. Lengo kubwa likiwa ni ku-netralize habari ya ukweli ya Magufuli kuugua. Kuna wanao-suggest kuwa hii ilikuwa security operation ya kutaka kuwatambua wanaovujishi siri za ndani za Ikulu. Hili zilikubali.Sasa ni kwanini Lissu aingizwe Choo cha kike na Makachero?
Acha ushakunaku umekumbuka saa ngapi?.Rais ajitokeze hadharani azungumze na sisi wananchi wake. Tumemkumbuka sana.