digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hivi ni kwa nini inakuwa nongwa wananchi wanapoonyesha kummis mpendwa wao? Wanataka kumwona awasalimie, wewe Majaliwa unasema hatoki ndani anashughulika na mafaili, sasa mbona mnakuwa wakali? Kwani ni kosa kummis na kumuulizia mpendwa wako usipomwona kwa muda mrefu? Tunashukuru kama ameanza kupata nafuu.Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"...
Akiugua na yenye atakaa kimya tupunzike.Yaani nimecheka kwa sauti peke yangu utafikiria chizi
Watu kweli tumevurugwa
Umewaza nini mkuu?
Ungejua usivyopendwa na huyo unayemsemea hungenyanyua mdomo. Uliponea kwenye tundu la sindano kutumbuliwa ujue!Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"....
Hata kama ni wewe pia umgekuwa na kisasi rohoni msilaumu Lissu ila ajichunge na mchezo wa System watu wasije kumuona na yeye kuwa ni walewaleAnazidi kujiharibia na pia wanamuona ni mtu wa visasi.
Angeanza na Shangazi zake siyo neno dogo lile lazima lipo moyoni muda utajibuUngejua usivyopendwa na huyo unayemsemea hungenyanyua mdomo. Uliponea kwenye tundu la sindano kutumbuliwa ujue!
Keshaonekana ni wale wale. Hata huko nje ameshajichafua na kupoteza credibility..Hata kama ni wewe pia umgekuwa na kisasi rohoni msilaumu Lissu ila ajichunge na mchezo wa System watu wasije kumuona na yeye kuwa ni walewale
Utoto wa kitoto.Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Utoto utoto tu watu wazima.Nampongeza sana Ndugu Waziri MKUU kwa kuwajibu wale Watu Ambao hata sisi tumeshangaa haya Mahaba na Chuma chetu yameanza lini?
Naanza kuamini kwamba Mzee Maalim Seif Ndiye Alikua Mshindani wa Kweli katika nchi yetu hawa wengine ni Sinematu.
Wewe ndio utuambie hilo jambo zito. Kila mtu afisa kipenyo achilia mbali mjomba wako.Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.