Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Majungu ya watanzania yako hivi, akionekana sana kwenye Tv na miradi mbalimbali wanasema kwanini Rais mzima anashinda anafanya kazi ambazo wasaidizi wake walitakiwa afanye?
Fact.Uwezekano mkubwa ni kuwa Lissu naye ameingizwa kingi kwa njia ya kuaminika sana. Kama umekuwa unafuatilia hili sakata utaona kuwa juzi walisema na waziri Mpango naye amepelekwa Nairobi. Hii yote ni kuifanya habari nzima ya kuugua ionekane ni uzandiki.
Ufipa kwakweli mmepoteana dah!Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Atakuja kuwatunuku Samia baada ya kuapishwa.Kesho aje Dodoma amalizie kiporo chake cha tar 8/3 sie wajeda tunataka nyota zetu.
Nakubaliana na wewe kabisa. Hiyo ndiyo hoja ya muhimu. Mengine ni ngonjera tu.Fact.
Magufuli hajaonekana hadharani wiki ya pili.
Kwa nini?
Mkuu,Kabisa mkuu,ile habari niliipuuza mapema asubuhi tu,kwanza mtu yupo ulaya halafu anasema rais wa tanzania haonekani,ki vipi? Pumbavu kabisa lissu
Hopeless comment ever!!Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Kuna wale wenye roho za kishetani wameumbuka Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Haya Balozi Lissu Amsterdam alishakuambia yuko India/China mwambie akupe updates za huko!!Labda magufuli wa lindi sio huyu wa chato,atulie muda ni ukuta na hakuna siri chini ya jua....[emoji870]moree
Sasa wewe una lazimisha awe anaumwa? Si umwe wewe?Kama anaumwa, kuna tatizo gani kusema rais anaumwa tumtakie afya njema?
Una point ya msingi but Waziri Mkuu ameshatuambia yupo anapiga kazi.Mkuu,
Magufuli akifa leo, watu wakawa wanapiga hela kwa saini yake kwa wiki mbili, wewe utaona sawa?
Lissu kuwa Belgium si hoja, hoja ni Magufuli hajaonekana kwa wiki mbili.
You are a foul fucktard, an ignoble imbecile and a calcified cretin.Ulitaka aje nyumbani kwako. Umeenda Ikulu ukamkosa? Akionekana sana kwenye TV mnalalamika akitulia Ikulu napo maneno. Hivi nyinyi wanyama wa Serengeti mtajitambua lini? Sasa mwambieni Balozi Lissu Amsterdam awape update za huko alikompeleka India/China?